Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

Sisi bado sana..
Wanajesh wanaingia kambini na smartphone za kampuni tofauti...
Kuna siku nilkuwa naset 'radiocall' kuweka channel moja hiv..nikakamata mawasiliano ya maafande...duh
Duuuh hii ni hatari mkuu..
Sikujua kwamba kuna technology hii.
Kwaiyo wafanyeje?
Kila siku tunajifun
 
mimi nahisi kama huwa mnaongeleaga vitu msivyovijua! Sijui movie zimewaathiri?????!!!
Unakuta mtu anaamini Comando hafi , kwamba kuna watu wanafanya mission 99% sucessful without casualities yani mambo perfect... kwamba unaenda kupambana na watu wasiojitambua unawamudu! Na lolote haliwezi kutokea.

Hivi hamusikii huko kwa watukufu wenu wanakufa mpaka maofisa wa juu kabisa!! Vita haipo kwa ajili ya mipango! Ila mipango ipo kwa ajili ya vita ile just in case! Kuna kuwahi na kuwahiwa! Sasa ukijikuta umeangukia nsituni au eneo la mission haliruhusu drone na hizo mashine zingine zingine unatakiwa sasa ubebe hizo kilo 70 zitakazokusaidia kusurvive mwezi mzima.. utafanyaje?? Na nyie mnataka jeshi zima liwe kama kitengo cha hakers au wanasayansi yani hawanyanyuki kuface mambo magumu kigumu.
Afande umeongea kwa uchungu mkubwa sana🥺
 
Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.

Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles,. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??

View attachment 2974562
Ukweli usemwe haiwezekani miaka nenda rudi maonyesho ni Yale Yale wabadilike,watuonyeshe technology za kisasa au mbinu mpya za kupambana na uvamizi.

Vita ya Leo ni ya technology hao makomando kazi zao Kwa sasa ni akili ya kutumia vifaa vya kisasa.
 
Hao ni makomando ambao wapo kwenye mission mashariki ya Congo kwenye misitu ya Beni au ituri huko.... Haya maonyesho yana ujumbe wake kulingana na mgeni au wageni rasmi au mwenendo wa Geopolitical wa eneo husika.
Kipindi Cha JK maonyesho yalitawala sana uwezo wa vifaa vya kivita. Tena vifaa vinavyoonyeshwa ni vile ambavyo mpelekewa ujumbe Hana.
Kijeshi, haiwezekani kuja kuonyesha teknolojia ya Jeshi letu eneo lile eti jinsi tunavyotrap drones ama la, hiyo ni sawa na kuuza ramani.
KAMA CODES NA MIDANIA YA KIJESHI HAUIJUI NI BORA UKAKAA KIMYA
Sijui kakuelewa? Kwa kumuongezea sasa SF ya FARDC ilipewa mafunzo maalumu na kaibiles ( Guatemala special force) hivyo vitu ni kawaida mno tena yapo mengine ni zaidi ya hapo. Au afuatilie Kopassus (Indonesia special force) na hapo kuna vitu huonyeshwi vyote.

Huwa tunapenda kudharau vitu siyo kila sehemu mtapeleka drone ingekuwa hivyo hata hao Israel siyaret matkal wangefunzwa hayo ma krav maga ya nini au South na North Korea wangejifunza yale ma tae Kwon do na mazoezi magumu ya nini na wao ndiyo wanaunda kabisa.
 
Sijui kakuelewa? Kwa kumuongezea sasa SF ya FARDC ilipewa mafunzo maalumu na kaibiles ( Guatemala special force) hivyo vitu ni kawaida mno tena yapo mengine ni zaidi ya hapo. Au afuatilie Kopassus (Indonesia special force) na hapo kuna vitu huonyesheshwi vyote.

Huwa tunapenda kudharau vitu siyo kila sehemu mtapeleka drone ingekuwa hivyo hata hao Israel siyaret matkal wangefunzwa hayo ma krav maga ya nini au South na North Korea wangejifunza yale ma tae Kwon do na mazoezi magumu ya nini na wao ndiyo wanaunda kabisa.
Ishia hapohapo 💥💥💥 Hawa watoto wakishiba kashata na mihogo wanakuja na story zakulijua Jeshi sana....
 
Wenzetu nje wame-advance kwenye mambo mengi ndio maana tunajifunza kutoka kwao,hao wanaoenda ndio tunawategemea watulete kwenye usasa
anha sawa mkuu sasa swali langu innovation vipi zinafanywa au zipo zilizowahi kufanya na hawa wanaokuja kuvaa nyota baada kusoma nje? , maana huwa naona tu vyeo wanapata + mishahara ila jeshi letu kuwa advanced hatuoni kbsaa.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Back
Top Bottom