TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
so what gentleman?Mmepewa bure toeni bure.
Kwanini mtume Mwamposa auze maji yake? Au anayawekea Chloroquine kuua vijidudu vya Malaria 2 na mapepo wengine wachafu?
Chukuwa chumvi ya mawe, weka kwenye maji kwa kunuia. Hiyo ndio silaha yako katika ulimwengu wa roho. Hakuna kwenda kanisani, bariki mwenyewe!Mmepewa bure toeni bure.
Kwanini mtume Mwamposa auze maji yake? Au anayawekea Chloroquine kuua vijidudu vya Malaria 2 na mapepo wengine wachafu?
Ila hakuna hata moja linalotolewa bure, lazima kuna mtu ataingiliwa tu, kwenye maji kwingine bure kwingine na helaso what gentleman?
ist na v8 yote magari tu π
Maji ya baraka ni nini? maji ya baraka ni majisafi yoyote yatakayotiwa chumvi ya maweMmepewa bure toeni bure.
Kwanini mtume Mwamposa auze maji yake? Au anayawekea Chloroquine kuua vijidudu vya Malaria 2 na mapepo wengine wachafu?
In fact wajinga ndio waliwao,Ila hakuna hata moja linalotolewa bure, lazima kuna mtu ataingiliwa tu, kwenye maji kwingine bure kwingine na hela
Yupi tapeli zaidi?Utapeli tu
Wewe umebarikiwa kwa moto, kwa udongo, kwa upepo au kwa maji?In fact wajinga ndio waliwao,
maji ni uhai unaweza kiyabariki mwenyewe na ukayatumia kikubariki wewe na uzao wako bila kubabaika na maji ya ushirikina wa wengine π
Wenyewe wanaita kujiteketezaHili suala la manabii kuuzia watu maji ni utapeli mtupu!
Gentleman,Wewe umebarikiwa kwa moto, kwa udongo, kwa upepo au kwa maji?
Na mimi baraka zangu zinatoka katika Zaburi 23:6 Hakika wema na fadhili zitanifuata siku zote.Gentleman,
Neema na Baraka za Mungu zilizojuu yangu zinatoka katika neno hili hapa chini.
Zaburi 23: 1
"Bwana ndie mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu"
sibabaiki na porojo, ramli au ushirikina mwingine wowote ule katika dunia hii π
Mungu akubariki sana gentleman,Na mimi baraka zangu zinatoka katika Zaburi 23:6 Hakika wema na fadhili zitanifuata siku zote.