ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Laleni uchi mnasubiria nini?View attachment 2744152
Kunataarifa zindai kwamba kuna hati za maelewano zipatazo 30 zilisainiwa na Rais katika ziara yake ya Dubai.
Pia inadaiwa, huu mkataba wa Bandari ni moja tu kati ya vilivyomo kwenye maelewano hayo. Pia kuna sekta zingine kama posta nk.
Inasemekana kwamba, MOU hizo zote zikiwekwa wazi, basi waTanganyika wote mtalala uchi barabarani mkigalagala na kulia.
Ombi, MOU hizo zote 30 alizosaini, ziwekwe wazi.
Nini kimefichwa?Watu wanajiuliza sababu ya kufichwa ni zipi
Tuoneshe mmoja uliogawa mali, hatutaki porojo, tunataka utuoneshe huo mkataba.Hata mimi sijawahi kuona awamu ambayo mikataba yake inagawa bure rasilimali zote za nchi kwa mikataba zaidi ya 30
Ndugu zako katika Imaan wanafaidika sana na raslimali za Tanganyika.Hivi uuzwaji wa Loliondo kwa UAE umekunufaisha nini wewe na waislamu wengine wa Tanzania?Tuoneshe mmpoja uliogawa mali, hatutaki poorjo, tunataka utuoneshe huo mkataba.
Unao au una porojo tu?
Waarabu wanafanya biashara kama wawekezaji wengine hawaji kukuza dini yako.Angalia faida mnazozipata pale Loliondo.Kataa unyonyaji na ukoloni mamboleo.Pale Loliondo hata masheikh hawakanyagi kabisa ni full business.Amka!#) tu? Mbona umelala wewe. hizo za Dubai tu, bado hujasema za Oman. Kia si unaona management imeshaanza kufanya mambo yake pale, maduka bado?
Bado za Saudu Arabia.
Bado za Qatar.
Bado za Kuwait.
Za Algeria tayari umeziona?
Watu tunaongelea MoU kama 200 za nchi za Kiarabu, wewe uko wapi n hivyo vi 30 vyako?
Kukaa kimya, pale mtu anapoona atakalosema linaweza kutafsiriwa vibaya au vinginevyo, ni moja ya sifa kuu ya mwenye busara.Tuoneshe mmpoja uliogawa mali, hatutaki poorjo, tunataka utuoneshe huo mkataba.
Unao au una porojo tu?
Hivi wewe hujanufaika? Kwenu wapi? Dah itakuwa mmesahauliwa sana.Ndugu zako katika Imaan wanafaidika sana na raslimali za Tanganyika.Hivi uuzwaji wa Loliondo kwa UAE umekunufaisha nini wewe na waislamu wengine wa Tanzania?
Kamuulize Shehe Mwaipopo piaNdugu zako katika Imaan wanafaidika sana na raslimali za Tanganyika.Hivi uuzwaji wa Loliondo kwa UAE umekunufaisha nini wewe na waislamu wengine wa Tanzania?
Wako radhi..watuue wote ila tusione hizo MoU..Ombi, MOU hizo zote 30 alizosaini, ziwekwe wazi.[emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejitahidi kuangalia vizur kweny hio video labda ntaona hata MoU moja katiba hizo 30 ila hola.View attachment 2744152
Kunataarifa zindai kwamba kuna hati za maelewano zipatazo 30 zilisainiwa na Rais katika ziara yake ya Dubai.
Pia inadaiwa, huu mkataba wa Bandari ni moja tu kati ya vilivyomo kwenye maelewano hayo. Pia kuna sekta zingine kama posta nk.
Inasemekana kwamba, MOU hizo zote zikiwekwa wazi, basi waTanganyika wote mtalala uchi barabarani mkigalagala na kulia.
Ombi, MOU hizo zote 30 alizosaini, ziwekwe wazi.