Nimedokezwa, Palamagamba Kabudi ameongezewa ulinzi kuelekea Mkutano wa Dharura wa CCM huko Dodoma

Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kwamba Nchimbi anatolewa kama ikiwa hivyo basi jeshi wakati wenu ni huu hakuna wakati mwingine tena.Hii nchi itakuwa imeoza sasa lakini siamini hizi propaganda tu
Sahau kuhusu hilo mkuu,watu wanalamba asali tu
 
Huyo ndiye makamu mpya, kwa itifaki ya ccm kidini ni lazima awe galatia kama rais ni kobazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…