The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
- Thread starter
-
- #21
Mkuu sio shida kama mtu unamuamini lakini pia vitu vidogo vidogo kama hivyo uliviwaza sana maisha yatakua magumu sana.Gari yangu haifiki kijijini barabara ni mbaya sana. Nitunzie yangu huku mjini kwenye lami nipe yako nikaue hayo mashokup na mabush huko porini.
Umesema sahihi kabisa. Limbukeni ndie anakufa kwa hizo gari.Zinawaua malimbukeni.
Hakuna anayekulaumu kutoa gari, huyo ni wewe na mfumo wako wa maisha na unavyotafsiri mipaka ya kushare vitu...Mkuu sio shida kama mtu unamuamini lakini pia vitu vidogo vidogo kama hivyo uliviwaza sana maisha yatakua magumu sana.
Unampa mtu chombo kwa makubaliano akuharibu atatengeneza na ikiharibika pakubwa bima itatengeneza inakua haina shida kiongozi.
Tuishi kwa kuaminiana na kusaidiana mkuu.
Mahusiano mapenzi na urafiki (MMU)Tusio na magari tu comment wapi
Kabisa, hata mbio vanguard haoni ndaniVanguard ina nini zaidi ya kuwa juu? It's a stretched Toyota RAV4 hamna cha ziada. Crown build quality na vitu vingi iko kiwango cha juu zaidi ya Vanguard. Vanguard itazidi Crown kuwa body iko juu tu hamna kingine.
Mkuu vanguard kamzidi kipi Crown??Ukiachana na kuwa Mid SUV??Crown lenyewe loyal kumbe!!?
Angekuachia Athlete ingekuwaje mkuu?
Kwamba unataka ufananishe huo uchafu na Vanguard?
Brother kuwa serious bhas.
Vijana na zile crown za 2004 mil 12, hapo kajichanga sana baada ya kuuza vitz yake, odo inasoma kama km 250k + hapo gari imepita kwenye mikono kama yote + service haina + uzoefu alionao mara ya mwisho alikuwa anamiliki vitz + katumia kilevi + barabara za bongo hazina viwango,bumps hapa na hapa + speed 180 + kakutana na dereva hajielewi kama yeye = kifo.Zinawaua malimbukeni.
Jamaa yangu nnacho kupendeaga wewe unafiki huuwezi kabisa penye ndio unasema ndio na penye hapana unasema hapana. Najua ww ni mpenzi wa European cars lakin linapokuja swala la Japanese cars ambazo zinasifa na zinastahili kusifiwa uwaga upindishi maneno kabisa, Toyota crown ni gari ya viwango sana it's a real executive sedanVanguard ina nini zaidi ya kuwa juu? It's a stretched Toyota RAV4 hamna cha ziada. Crown build quality na vitu vingi iko kiwango cha juu zaidi ya Vanguard. Vanguard itazidi Crown kuwa body iko juu tu hamna kingine.
Huko kuwa Mid SUV ndo kumzidi. BodyLife span ya vanguard humu nchini huwezi linganisha na crown.Mkuu vanguard kamzidi kipi Crown??Ukiachana na kuwa Mid SUV??
Na ndo thamani ya SUV/Mid SUV ilipo. Body kuwa juu.Vanguard ina nini zaidi ya kuwa juu? It's a stretched Toyota RAV4 hamna cha ziada. Crown build quality na vitu vingi iko kiwango cha juu zaidi ya Vanguard. Vanguard itazidi Crown kuwa body iko juu tu hamna kingine.
Fafanua kidogo mkuuZinaua kinoma.
Kuna jamaa alikuwa na Bmw x3 alikuwa na speed kubwa sana akagongana na Scania uso kwa uso lakin ile Bmw haikupata ata mkwaluzo na jamaa alitoka ktk gari lake salama salmin. Ni aina ya stori wajeruman weusi upenda kuzisikia[emoji23][emoji23]
Huko kuwa Mid SUV ndo kumzidi. BodyLife span ya vanguard humu nchini huwezi linganisha na crown.
CROWN ni gari kali sana though when it comes to performance na maspidi ya ghafla ghafla kulinganisha na vanguard au rav 4 ya mwaka wake.
HahahaKuna jamaa alikuwa na Bmw x3 alikuwa na speed kubwa sana akagongana na Scania uso kwa uso lakin ile Bmw haikupata ata mkwaluzo na jamaa alitoka ktk gari lake salama salmin. Ni aina ya stori wajeruman weusi upenda kuzisikia😂😂
Mazingira ya barabara zetu mwenye crown na mid suv nani ana urafik zaidii na fundi body? Jibu kwa facts si kwa mahaba ya gari.Body life span?hii inahusianaje whether gari ikiwa ni saloon au SUV?
kuna dogo moja alikuwa ane anazaliwa sana crown, nikampakia jana .. alishangaa nilivyo futa 180 na gari ipo kama haiendi vile, akanyoosha mikonoVijana na zile crown za 2004 mil 12, hapo kajichanga sana baada ya kuuza vitz yake, odo inasoma kama km 250k + hapo gari imepita kwenye mikono kama yote + service haina + uzoefu alionao mara ya mwisho alikuwa anamiliki vitz + katumia kilevi + barabara za bongo hazina viwango,bumps hapa na hapa + speed 180 + kakutana na dereva hajielewi kama yeye = kifo.
hapo mnazilaumu crown bure tu, haya magari kwa wenzetu kama huko germany mtu anatembea na 300km/hr highway na asubuhi unakuta wanakwenda kazini wanafanya ligi barabarani,
namiliki bmw lakini crown ni mnyama sana, japo kwa mkoloni anasubiri... hata bmw m series zingekuwa cheap zingewachinja sana hawa madogo vichwa panzi... ungesikia bmw m3 inaua sana vijana...
Hicho tu ndiyo useme hiyo Uchafu?Body kuwa juu ndiyo point yako kubwa hiyo nyingine kuita Uchafu??Huko kuwa Mid SUV ndo kumzidi. BodyLife span ya vanguard humu nchini huwezi linganisha na crown.
CROWN ni gari kali sana though when it comes to performance na maspidi ya ghafla ghafla kulinganisha na vanguard au rav 4 ya mwaka wake.
Rudia kusomaHicho tu ndiyo useme hiyo Uchafu?Body kuwa juu ndiyo point yako kubwa hiyo nyingine kuita Uchafu??
Twende kwenye uzi wa kula tunda kimasiharaTusio na magari tu comment wapi
Hio Gari anakua anaipitisha wapi mpk ahitaji fundi body?Mazingira ya barabara zetu mwenye crown na mid suv nani ana urafik zaidii na fundi body? Jibu kwa facts si kwa mahaba ya gari.