Nimeelewa sababu ya vijana kupenda Toyota Crown

Mkuu kuna sedan za AWD hauwazi mguu huu ukae huku wala nini pia sedan za rear wheel drive ni nzuri pia huwazi biashara ya tairi moja iwe juu
 
Kuna hi I Mercedes kompresa
 
Kama unakaa Kumara,mbezi Makabe na sehemu kama hizo lazima uhangaike upate hata RAV4 massawe, lakini Kwa Sisi tunaokaa sehemu zisizo na barabara za ajabu sedan wala hazisumbui. Kuendesha Kwa mahesabu kama dereva ni muhimu
 
Ukweli kuendesha sedan kweNye rough road ni mateso makubwa Sana hata Raha ya gari huwezi ona, lazima kuendesha mwendo wa kobe , mazingira ya Barbara zetu siyo rafiki kwa sedan matuta yenyewe yameinuka ni hatari, sasa Kama uko bush km 60 rough road si mateso hayo, suv ni gari zuri kwa barabara zetu za bongo.
 
Kama unakaa Kumara,mbezi Makabe na sehemu kama hizo lazima uhangaike upate hata RAV4 massawe, lakini Kwa Sisi tunaokaa sehemu zisizo na barabara za ajabu sedan wala hazisumbui. Kuendesha Kwa mahesabu kama dereva ni muhimu
Sio kimara tu ama mbezi makabe.

Kwa hapa Dar sehemu zote isipokua masaki na upanga tu ndio barabara zinaputika kwa urahisi kwa sedan ila maeneo mengine yote ni changamoto.
 
Sio kimara tu ama mbezi makabe.

Kwa hapa Dar sehemu zote isipokua masaki na upanga tu ndio barabara zinaputika kwa urahisi kwa sedan ila maeneo mengine yote ni changamoto.
Zipo sehemu kibao sedan hazipati shida labda huijui Dar vizuri. Kwenye njia mbaya sana ni huko milimani Goba, Kimara, Makabe etc
 
Kwamba interior space ni ndogo? Unajua hiyo electronic adjustable seat inashuka chini mkuu kwa ajili ya watu warefu hata 7ft tall anakaa!!
 
Kwamba interior space ni ndogo? Unajua hiyo electronic adjustable seat inashuka chini mkuu kwa ajili ya watu warefu hata 7ft tall anakaa!!
Sio kweli, 7ft hakai mle.

Mimi ni 6.3 lakini kichwa kinagonga juu ya roof na hapo itabidi kioo chote cha mbele kisiwe na ile tint ya juu, chote kiwe cheupe.

Lakini pia hata kuangalia side mirror ni changamoto inabidi uiname kidogo. 7 feet mle hakai hata kama a-adjust vipi kile kiti.
 
Aisee 6'3" kichwa chako kinagonga roof?! Kweli few inches make a big difference
 
Kuna watu wanasoma huu uzi lakini wanaamini kabisa hauna uwezo wa kumiliki mchuma
 
Crown lenyewe loyal kumbe!!?
Angekuachia Athlete ingekuwaje mkuu?
Kwamba unataka ufananishe huo uchafu na Vanguard?
Brother kuwa serious bhas.
Kwamba athlete ni matata kuliko royar[emoji9] ?
 
Huenda nimecompare na gari ninayoijua yenye features tofauti. Hiyo gari seat yake haishuki chini kwenye upande wa kiuno?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…