Nimeelewa sababu ya vijana kupenda Toyota Crown

Ok, hakuna kitu cha kumfaa kila mtu na kila wakati ndio maana akaazima la kwako limpeleke kijijini.
Mimi napenda gari ya juu, iwe 4wD. Ample space ya mizigo nyuma hivyo nina grand vitara. Ni nzito na peformance yake ni nzuri njiani.
Sio gari ya kuharibika haribika hovyo ingine imetulia sana. Ina improvised cooling system ya mkonga.
Siku mvua ikinyesha sana mjini napita bila shida. Kokote inafika vizuri. A great family car.
 
Ukijifanya kuendesha Vanguard kwenye offroad kama gari ya off-road inakula kwako. Iko juu haitakwaruza chini lakini bush ball joint na vitu kama hivyo ugumu wake hauna tofauti na za gx100. Naongea kwa experience.
Hazina ugumu wowote wa kufanya ufukie mashino,ukifukia mashino safari za gereji kubadili bush haziishi na ugonjwa wake mkubwa hizo gari ni steering rack.
 
Okay fanya haraka urudishe gari la Kaka yako.
 
Acha kuvimbisha watu vichwa. Japan crown ni TAXI

 
Kuna mahali nilisikiaga wanasema kwa mtoto ambaye hajawahi kutoka akala chakula kwa jirani, ndugu na jamaa wengine au hata mgahawani. Huishi maisha yake akijua na kuamini kwa dhati kabisa kuwa mama yake ndio mpishi bira duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…