Hongera sana sana, this is very goodNafurahi kuona hadi sasa anaendelea vizuri hakosi 40elfu kwa siku, sasa amepata mchumba anataka kuolewa.
Na mm naomba niwe gardener wako niliishia la nne b kama na itakupendeza mkuu wangu unipeleke kusomea kilimo cha umwagiliaji Israel.[emoji177][emoji177][emoji177][emoji177][emoji177]
Mimi mwenyewe beki3 mkuu! Kama itakupendeza naomba 300,000/ - nimnunulie mama kiwanja!Na mm naomba niwe gardener wako niliishia la nne b kama na itakupendeza mkuu wangu unipeleke kusomea kilimo cha umwagiliaji Israel.
Ila kuna wanawake Wana wivu mkali aisee!hongera zao wanaonesha kupenda💕🖐️🤸Mungu awabariki sana Mkuu.
Kuna mmoja tulidumu Naye miaka miwili nilitamani sana kumpeleka akajiongeze kielimu. Nilipowasilisha hilo wazo kwa mwenzangu nilikubaliwa vizuri kabisa.
Haikupita miezi miwili Binti akaaga ghafla kurudi kwao.. Baada ya kama mwezi hivi nikakutana na Shangazi yake, ndiyo akanipa michapo kwamba Binti alishangaa ameanza kuchukiwa ghafla na "Dadake" mpaka akadiriki kumwambia anahisi kuna mahusiano Baina yetu, akajionea bora tu ajirudie makwao..
Wake zetu huwa ni wagumu sana kwenye suala linalohusu mfanyakazi, mara nyingi huhisi wanaibiwa nadhani ni vile wengi wa waume zao hujihusisha nao kingono.Mungu awabariki sana Mkuu.
Kuna mmoja tulidumu Naye miaka miwili nilitamani sana kumpeleka akajiongeze kielimu. Nilipowasilisha hilo wazo kwa mwenzangu nilikubaliwa vizuri kabisa.
Haikupita miezi miwili Binti akaaga ghafla kurudi kwao.. Baada ya kama mwezi hivi nikakutana na Shangazi yake, ndiyo akanipa michapo kwamba Binti alishangaa ameanza kuchukiwa ghafla na "Dadake" mpaka akadiriki kumwambia anahisi kuna mahusiano Baina yetu, akajionea bora tu ajirudie makwao..
Mkuu yote hayo niliyafanya sana kumshauri hata kugawa majukumu baina ya 'Dada' na wengine tunaoishi nao (wadogo zake particularly) anakusikiliza unahisi ameelewa.. Ila hamna mabadiliko.Wake zetu huwa ni wagumu sana kwenye suala linalohusu mfanyakazi, mara nyingi huhisi wanaibiwa nadhani ni vile wengi wa waume zao hujihusisha nao kingono.
Mimi niliwashirikisha kistaarabu sana na nilifanikiwa kubadili mtazamo waliokuwa wameujenga kwa kila kazi afanye yeye kisa analipwa kwa kazi hizo.
Na ikizingatiwa binti alikuwa bado mdogo na wife ndio alimtafuta, mwisho ilibidi tumsaidie afakie malengo yake maana alikuwa ni sawa na wadogo zetu waliokuwepo, alionesha heshima na hamu ya kuendelea kusoma na matatizo ya kiuchumi ya familia yake ndio yalimkwamisha.
Mkuu, wake zetu ni changamoto sana ndugu yangu wakati mwingineMkuu yote hayo niliyafanya sana kumshauri hata kugawa majukumu baina ya 'Dada' na wengine tunaoishi nao (wadogo zake particularly) anakusikiliza unahisi ameelewa.. Ila hamna mabadiliko.
Kuna 'mshauri wake' siku niliwakuta wanajadiliana eti 'mdada' ukiwa mpole kwake atakuwa mvivu. Afu akiondoka wanaanza kulalamika kazi nyingi kumbe mnawanyanyasa!!
Ndio kazi ambayo mtu yeyote anaweza kufanya hata kama hajui kusomaHongera sana.
Sijui kwanini mara nyingi ukiwauliza nini wangependa kufanya tofauti na kazi za ndani hupendelea kazi ya ushonaji wa nguo!!