Nimefanikiwa kufunga ndoa nichangieni wana jf

Unavyosema jiko jipya... maana ulikua na la zamani?

Nani alikuchangia wakati wa jiko la zamani?

Na je ulilipeleka wapi ?
 
Whatsapp yako inapokea hela mkuu.
 
Unavyosema jiko jipya... maana ulikua na la zamani?

Nani alikuchangia wakati wa jiko la zamani?

Na je ulilipeleka wapi ?
Sijawahi kupata jiko hilo ni la kwanza kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…