Nimefanikiwa kufungua online radio

2 Timotheo 1:7 SRUV​

Maana Mungu hakutupa roho ya woga, bali ya nguvu na ya upendo na ya moyo wa kiasi
 
N
Naomba kuwa mmoja wa watangazaji wako ilinijifunze.ila hongera pia
 
Hongera nime sikiliza iko vizuri. Jaribu kutafuta wadau muwekeze pamoja utafika mbali. Naamini kwa platform uliyo nayo una uwezo wa kupata wadau wengi.

Ila naomba kuuliza bila ya laptop hizo nyimbo na jingles una cheza vipi?
 
Mbona una jiunga na taarifa za habari za TBC?
 
Mbona una jiunga na taarifa za habari za TBC?
yani laptop ipo moja inauwezo mdogo sana na katika ubunifu nilio fanya ni huo wakujiunga na tbc mwanzo nilikua najiunga na hadi na dw swahili na pia nimewahi jiunga na upendo radio semina ya mwakasege
 
Hongera nime sikiliza iko vizuri. Jaribu kutafuta wadau muwekeze pamoja utafika mbali. Naamini kwa platform uliyo nayo una uwezo wa kupata wadau wengi.

Ila naomba kuuliza bila ya laptop hizo nyimbo na jingles una cheza vipi?
zina jicheza zenyewe ata kujiunga na tbc inajiunga yenyewe
 
yani laptop ipo moja inauwezo mdogo sana na katika ubunifu nilio fanya ni huo wakujiunga na tbc mwanzo nilikua najiunga na hadi na dw swahili na pia nimewahi jiunga na upendo radio semina ya mwakasege
Hongera sana kaka wazo lako libarikiwe sana,hapo katika kurusha matangazo jaribu kuongea na hao watumishi wenye kuendesha ibada zao,kama vile mwamposa,ama yule wa kimara anayejiita kuhani musa anza nao kuongea uwe uawarushia vipindi vyao unaweza ukaanza kwa kurusha ibada zao kwa gharama ndogo uwe unawachaji kwa mwezi tofauti na media nyingine mdogomdogo vifaa vingine vitapatikana tu
 
asante sana kwa ushauri wako nitafatikia ili ili niweze kupataa vifaa maana natamani isikike zaidi na online na mipango ipo sema uwezeshaji tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…