Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,754
- 4,746
Hii inatumikaje mkuu?Dawa ya kunguni mkuu ni mafuta ya taa na sabuni ya unga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inatumikaje mkuu?Dawa ya kunguni mkuu ni mafuta ya taa na sabuni ya unga
Usishangae sana, me nililetewa hao wadudu na msichana wa kazi toka kijijini kwao. Unaweza kuwapata kwa namna tofauti. Kama mwanao anasoma shule za bweni hasa za serikali ni rahisi kuja nao. Kwa tuliopitia Ndanda boys na songea boys kuleta kunguni nyumbani kipindi cha likizo ilikuwa kawaida.Heeee yaani mna mpaka prado mna net ya maana mapazia ya bei nyumba ina rangi lakini hao wadudu wanaingia, pole
Mkuu tupiamo na picha la pamoja.Kunguni hawangalii masikini wala tajiri.
Prado hizo ziko 2. noah 2. Amarok 1. Pick up 1, Terrano 1, Pikipiki XL 250 iko 1.
Vikorokoro ni vingi ndio maana wadudu wanaingia bila taarifa
Hahahaha. Jamani!!!! Bongo sihami katu. It's stress freeUnawaonea wivu na kuwaua viumbe wa Mungu, halafu wewe unaogopa kuuawa na chanjo!
Mkuu naomba ufafanuzi pleaseDawa ya kunguni mkuu ni mafuta ya taa na sabuni ya unga
Sikia fungua kitanda na godoro ukiona kuna alama nyeupe nyeupe km chak piga dawa mjomba hayo ni mayai yke mm nishatajgaza vita nikiona utando mweupe tu nalala narKunguni wanakera sana, unakosa usingizi wakati mwingine unadhalilika!
Basi bwana kuna hii dawa inaitwa diazinone, niliitumia mwaka 2015 na nikafanikiwa kuwaangamiza hawa wadudu korofi.
Ghafla tena naitwa nyumbani kwamba wadudu wanasumbua, njoo utupe msaada, nikaenda kweli nikakuta wamejaa kwenye neti, godoro mpaka kitandani, hadi watoto wamehamishiwa vyumba vingine.
View attachment 1938474View attachment 1938476
Nilivyoona hii hali basi nikaingia mjini na sh elfu 10 tu nikiwa na uhakika hii inamaliza kila kitu.
Kweli, nikapata dawa chupa 1 sh elfu 2.5 nikachukua 2 kwa elfu 5.
Chupa ya spray nikabeba kwa elfu 4.
View attachment 1938493
Chupa 1 unachanganya na lita 2 za maji safi.
View attachment 1938504
Kisha unakoroga vizuri (hakikisha kama unaweza uvae gloves, barakoa kuoa suffocation, PPE ni muhimu maana hii ni sumu hatari sana)
Nikachanganya dawa vizuri na maji mpaka ikawa kama maziwa
View attachment 1938512
Baada ya hapo nikaweka kwenye chupa nikaanza spray, vitu vyote lazima viwe katika sehemu ya wazi yenye hewa na mwanga wa kutosha ili mdudu aonekane vizuri na kuepuka suffocation.
Kusema kweli hii dawa ilileta matokeo mazuri sana mpaka sasa wadudu wamepungua kwa asilimia 90
Niliwahi kusikiliza makala ya kunguni BBC nikashangaa sana. Hawa wadudu ili kuwaangamiza kabisa kunahutajika mchanganyiko wa sumu karibia 1,000.kunguni sio uchafu mzee hawa wadudu hawana adabu tu
nakumbuka mwaka fulani MAREKANI kunguni lilikuwa JANGA kubwa kwao mpk likajadiliwa kwenye BUNGE nakumbuka kipindi hicho RAISI alikuwa OBAMA
hoja ilikuwa KUNGUNI wao dawa zote zimegonga mwamba na wanekuwa wengi mno
HUKO uganda JESHI la KULINDA nchi liliingilia kati na kuchukua OPERESHENI maalum ya kuwa tokomeza Baada ya wananchi kuomba msaada zaidi toka serikalini
hawa wanajeshi wanaweza kukaa kimya mwaka mzima tena bila hata ya kula
wakiwa wanafanya tafiti zao katika maabara kutengeneza chanjo zao kukabiliana na madawa mbalimbali
na dawa ikiwa kali sana kwao inawaua
wanachukua sample na kuisambaza katika maabara zao dunia nzima na kuifanyia uchunguzi mpk wanapata SOLUTION
ndio ile unakuta wametulia hata mwaka mzima lkn ghafla wanaibuka tena na ukitumia hiyo dawa tena haiwadhuru kumbe wajomba washaifanyia utafiti na kupata ANTDOTE yake
hawa wadudu inahitajika kampeni ya mwakamzima wewe ukisikia dawa yoyote unawapelekea moto tu hata kma unaona wameisha inakupaswa kila baada ya wiki 2 au mwenzi unapuliza dawa tofauti tofauti
Diaznone ni sumu ya miaka mingi sana na ubora wake umebaki kuwa uleule,mimi naijua tangu miaka ya 80.Ni sumu kali sana ambapo unahitajika umakini kwa mtumiaji hasa akiwa na watoto wadogo na wenye umri mdogo.Kaka hii sio tangazo, its real hapo ni nyumbani kwa bro.
hio dawa nilishauriwa na daktari wa mifugo miaka 6 iliyopita. Ikanisaidia sana mpaka leo imenisaidia
nipo mwanza, IGOMA!
Duh!Diaznone ni sumu ya miaka mingi sana na ubora wake umebaki kuwa uleule,mimi naijua tangu miaka ya 80.Ni sumu kali sana ambapo unahitajika umakini kwa mtumiaji hasa akiwa na watoto wadogo na wenye umri mdogo.
Sumu hii watu ambao walikuwa wakiamua kuchukua uhai wao wenyewe kwa kujiua walikuwa wakiitumia mungu awasamehe huko walipo na awarehemu.Umenikumbusha kitu na hii sumu.
Kuna rafiki yake na kakaangu wa kike walikuwa wamemaliza wote ' O' level kile kipindi cha kusubiria matokeo au walishapata matokeo sikumbuki alijiua kwa Diaznone na she never left any suicide note.Nadhani aliitwa Dora or Doroth.
Dada yule japo mimi nilikuwa mdogo she was so beautiful na nahisi kakaangu alikuwa ana mla maana walikuwa karibu sana wanatembeleana kila mara.Watu tulishangaa sana mtaani.Alipojiua Doro kakaangu akawa ni kama anaulizwa clue ambayo hakutoa sababu za kujiua kwa Doro eidha kwa kutoxzijua au kwa kukatazwa na Marehemu hata akifa asiwaambie sababu.l was young by then.
Alikutwa anekufa na vichupa vya Diaznone.Nitamuuliza kaka yangu kuhusu kifo cha Doro ili nifahamu machache maana sijawahi kuuliza lakini atakuwa yeye anakumbuka!
Yeah.Duh!
inauma sana hio story.
RIP Doroth!
nimemuasa shemeji yangu aweke mbali sana hii sumu
Sure mkuu nlishwai changanya Sabuni ya unga,mafuta ya taa na chumvi nkanyunyiza ..Adse sijawahi kuwaona tenaSawa sawa mkuu ila ukitaka iwe mujarabu unatia na chumvi lazma wakasimulieane uko akhera!
Mkuu wanazungumzia kunguni siyo kunguru au umeanzisha mada mpyauko mwanza mwanawane.Kunguru wahuko ni noma sana
Maribabu ya fangasi nimeyafanya lakini pia bado sijaona nafuu.Hawa wadudu washenzi sana. Hiyo dawa imenifaa pia. Inapendekezwa maji hayo yawekewe sabuni ya unga. Ifanyike mara kadhaa hata kwa muda wa wiki mbili mpaka tatizo litakapoisha. Aidha, inapofanyika hivyo si budi kuanika baadhi ya vitu nje mfano. Godoro, chaga, n.k
Muulize basiDiaznone ni sumu ya miaka mingi sana na ubora wake umebaki kuwa uleule,mimi naijua tangu miaka ya 80.Ni sumu kali sana ambapo unahitajika umakini kwa mtumiaji hasa akiwa na watoto wadogo na wenye umri mdogo.
Sumu hii watu ambao walikuwa wakiamua kuchukua uhai wao wenyewe kwa kujiua walikuwa wakiitumia mungu awasamehe huko walipo na awarehemu.Umenikumbusha kitu na hii sumu.
Kuna rafiki yake na kakaangu wa kike walikuwa wamemaliza wote ' O' level kile kipindi cha kusubiria matokeo au walishapata matokeo sikumbuki alijiua kwa Diaznone na she never left any suicide note.Nadhani aliitwa Dora or Doroth.
Dada yule japo mimi nilikuwa mdogo she was so beautiful na nahisi kakaangu alikuwa ana mla maana walikuwa karibu sana wanatembeleana kila mara.Watu tulishangaa sana mtaani.Alipojiua Doro kakaangu akawa ni kama anaulizwa clue ambayo hakutoa sababu za kujiua kwa Doro eidha kwa kutoxzijua au kwa kukatazwa na Marehemu hata akifa asiwaambie sababu.l was young by then.
Alikutwa anekufa na vichupa vya Diaznone.Nitamuuliza kaka yangu kuhusu kifo cha Doro ili nifahamu machache maana sijawahi kuuliza lakini atakuwa yeye anakumbuka!
Ni wapi huko bado kunguni wapo?! Nafikiri walikwisha miaka ya 80’s?!Kunguni wanakera sana, unakosa usingizi wakati mwingine unadhalilika!
Basi bwana kuna hii dawa inaitwa diazinone, niliitumia mwaka 2015 na nikafanikiwa kuwaangamiza hawa wadudu korofi.
Ghafla tena naitwa nyumbani kwamba wadudu wanasumbua, njoo utupe msaada, nikaenda kweli nikakuta wamejaa kwenye neti, godoro mpaka kitandani, hadi watoto wamehamishiwa vyumba vingine.
View attachment 1938474View attachment 1938476
Nilivyoona hii hali basi nikaingia mjini na sh elfu 10 tu nikiwa na uhakika hii inamaliza kila kitu.
Kweli, nikapata dawa chupa 1 sh elfu 2.5 nikachukua 2 kwa elfu 5.
Chupa ya spray nikabeba kwa elfu 4.
View attachment 1938493
Chupa 1 unachanganya na lita 2 za maji safi.
View attachment 1938504
Kisha unakoroga vizuri (hakikisha kama unaweza uvae gloves, barakoa kuoa suffocation, PPE ni muhimu maana hii ni sumu hatari sana)
Nikachanganya dawa vizuri na maji mpaka ikawa kama maziwa
View attachment 1938512
Baada ya hapo nikaweka kwenye chupa nikaanza spray, vitu vyote lazima viwe katika sehemu ya wazi yenye hewa na mwanga wa kutosha ili mdudu aonekane vizuri na kuepuka suffocation.
Kusema kweli hii dawa ilileta matokeo mazuri sana mpaka sasa wadudu wamepungua kwa asilimia 90
wapo humu humu +255.Ni wapi huko bado kunguni wapo?! Nafikiri walikwisha miaka ya 80’s?!