Nimefanikiwa kupata kazi FBI, wameniomba dola 100 kwa ajili ya badge

Kiutani utani hivi hivi nimefanikiwa kupata kazi FBI.
Walinifuata facebook tukajadiliana mambo kadhaa wakaniajiri hapohapo.
Kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine wamesema mambo fulani fulani yanasumbua kuhusu usafirishaji so wameniomba dola 100 ili wampe mdau mmoja anakuja huku Tanzania, anilitee badge yangu ya kazi.
Nitakuwa analyst hapo New York tukisolve kesi ngumu ngumu na genious wenzangu wa Kimarekani.
Kila heri wadau tutawasiliana nikianza kazi.
...Umeingizwa cha Kike...Wakati wewe niwanaume!....Au kinyume Chake!!
 
Kiutani utani hivi hivi nimefanikiwa kupata kazi FBI.
Walinifuata facebook tukajadiliana mambo kadhaa wakaniajiri hapohapo.
Kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine wamesema mambo fulani fulani yanasumbua kuhusu usafirishaji so wameniomba dola 100 ili wampe mdau mmoja anakuja huku Tanzania, anilitee badge yangu ya kazi.
Nitakuwa analyst hapo New York tukisolve kesi ngumu ngumu na genious wenzangu wa Kimarekani.
Kila heri wadau tutawasiliana nikianza kazi.
Chai
 
Hizi bange jamani!
 
Haya ndiyo matatizo ya kuvuta sigara bwege kwa kificho ficho , baadaye utatuambia na mtoa roho anakuhitaji ukawe baunsa wake.
 
Kiutani utani hivi hivi nimefanikiwa kupata kazi FBI.
Walinifuata facebook tukajadiliana mambo kadhaa wakaniajiri hapohapo.
Kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine wamesema mambo fulani fulani yanasumbua kuhusu usafirishaji so wameniomba dola 100 ili wampe mdau mmoja anakuja huku Tanzania, anilitee badge yangu ya kazi.
Nitakuwa analyst hapo New York tukisolve kesi ngumu ngumu na genious wenzangu wa Kimarekani.
Kila heri wadau tutawasiliana nikianza kazi.
britanicca Troll JF una vituko
 
FBI ya chato.
 
Amka ukalime nyanya za mama ako kulala sana ndio kuna pelekea unaota upuuzi.
 
Naona lieutenant wa kwenye email. Kahamia facebook
 
Walahi nimecheka, yaani kila neno nililo kuwa nasoma ilikuwa nacheka.
 
Yajayo yanafurahisha Mkuu😂😂😂😂😂 sina hali hapa nacheka nikiona kitakachokukuta utalia kilio cha Mbwa Mwitu
 
Sawa umelamba shavu FBI kiutanitani ila unaenda kupigwa $100 kiukwekweli
 
Back
Top Bottom