Nimefanikiwa kupata kazi FBI, wameniomba dola 100 kwa ajili ya badge

Kiutani utani hivi hivi nimefanikiwa kupata kazi FBI.
Walinifuata facebook tukajadiliana mambo kadhaa wakaniajiri hapohapo.
Kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine wamesema mambo fulani fulani yanasumbua kuhusu usafirishaji so wameniomba dola 100 ili wampe mdau mmoja anakuja huku Tanzania, anilitee badge yangu ya kazi.
Nitakuwa analyst hapo New York tukisolve kesi ngumu ngumu na genious wenzangu wa Kimarekani.
Kila heri wadau tutawasiliana nikianza kazi.

Wapelekee wajanja hiyo hela ukamilishe ujinga wako!
 
Hii ndio tabu ya kulala umekula mafenesi, ona utomvu umefika hadi kwenye ubongo
 
Kiutani utani hivi hivi nimefanikiwa kupata kazi FBI.
Walinifuata facebook tukajadiliana mambo kadhaa wakaniajiri hapohapo.
Kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine wamesema mambo fulani fulani yanasumbua kuhusu usafirishaji so wameniomba dola 100 ili wampe mdau mmoja anakuja huku Tanzania, anilitee badge yangu ya kazi.
Nitakuwa analyst hapo New York tukisolve kesi ngumu ngumu na genious wenzangu wa Kimarekani.
Kila heri wadau tutawasiliana nikianza kazi.
Wahi aisee..tena waongezee 50.00 ili waharakishe...
 
Kiutani utani hivi hivi nimefanikiwa kupata kazi FBI.
Walinifuata facebook tukajadiliana mambo kadhaa wakaniajiri hapohapo.
Kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine wamesema mambo fulani fulani yanasumbua kuhusu usafirishaji so wameniomba dola 100 ili wampe mdau mmoja anakuja huku Tanzania, anilitee badge yangu ya kazi.
Nitakuwa analyst hapo New York tukisolve kesi ngumu ngumu na genious wenzangu wa Kimarekani.
Kila heri wadau tutawasiliana nikianza kazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. Diamond anakwambia #nawaza tu #achanikaekimya
 
Kiutani utani hivi hivi nimefanikiwa kupata kazi FBI.
Walinifuata facebook tukajadiliana mambo kadhaa wakaniajiri hapohapo.
Kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine wamesema mambo fulani fulani yanasumbua kuhusu usafirishaji so wameniomba dola 100 ili wampe mdau mmoja anakuja huku Tanzania, anilitee badge yangu ya kazi.
Nitakuwa analyst hapo New York tukisolve kesi ngumu ngumu na genious wenzangu wa Kimarekani.
Kila heri wadau tutawasiliana nikianza kazi.
Hivi kumbe bado waru wanapigwa kijinga namna hii.
 
Kiutani utani hivi hivi nimefanikiwa kupata kazi FBI.
Walinifuata facebook tukajadiliana mambo kadhaa wakaniajiri hapohapo.
Kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine wamesema mambo fulani fulani yanasumbua kuhusu usafirishaji so wameniomba dola 100 ili wampe mdau mmoja anakuja huku Tanzania, anilitee badge yangu ya kazi.
Nitakuwa analyst hapo New York tukisolve kesi ngumu ngumu na genious wenzangu wa Kimarekani.
Kila heri wadau tutawasiliana nikianza kazi.
😄Tuma kwenye namba hii....
 
Hongera sana Mkuu.

Ili wakuone wa maana watumie Dola 200 kabisa. Ukifika Nyuu Yok utashangaa wanakuongezea mshahara zaidi... Msalimie sana Biden maana mtakuwa Ofisi Jirani kabisa.

Mwambie Bongo bado vyuma havijaachia.
 
Utapigwa na kitu kizito kisogoni.

FBI hawaajiri watu ambao sio raia wa Marekani.
Kwa hili wanaajir Ali bin Mohammed personal secretary wa bin Laden alikuwa ni FBI double agent na alikuwa mmisri
 
Back
Top Bottom