Nimefanikiwa kupata kazi FBI, wameniomba dola 100 kwa ajili ya badge

Nimefanikiwa kupata kazi FBI, wameniomba dola 100 kwa ajili ya badge

Kwa hili wanaajir Ali bin Mohammed personal secretary wa bin Laden alikuwa ni FBI double agent na alikuwa mmisri
Hilo Mimi sifahamu mkuu,,
Ila ninachojuwa huwezikuwa FBI kama sio raia wa Marekani.

Tofautisha FBI na CIA.
 
Back
Top Bottom