...Umeingizwa cha Kike...Wakati wewe niwanaume!....Au kinyume Chake!!Kiutani utani hivi hivi nimefanikiwa kupata kazi FBI.
Walinifuata facebook tukajadiliana mambo kadhaa wakaniajiri hapohapo.
Kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine wamesema mambo fulani fulani yanasumbua kuhusu usafirishaji so wameniomba dola 100 ili wampe mdau mmoja anakuja huku Tanzania, anilitee badge yangu ya kazi.
Nitakuwa analyst hapo New York tukisolve kesi ngumu ngumu na genious wenzangu wa Kimarekani.
Kila heri wadau tutawasiliana nikianza kazi.
ChaiKiutani utani hivi hivi nimefanikiwa kupata kazi FBI.
Walinifuata facebook tukajadiliana mambo kadhaa wakaniajiri hapohapo.
Kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine wamesema mambo fulani fulani yanasumbua kuhusu usafirishaji so wameniomba dola 100 ili wampe mdau mmoja anakuja huku Tanzania, anilitee badge yangu ya kazi.
Nitakuwa analyst hapo New York tukisolve kesi ngumu ngumu na genious wenzangu wa Kimarekani.
Kila heri wadau tutawasiliana nikianza kazi.
Kiutani utani hivi hivi nimefanikiwa kupata kazi FBI.
Walinifuata facebook tukajadiliana mambo kadhaa wakaniajiri hapohapo.
Kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine wamesema mambo fulani fulani yanasumbua kuhusu usafirishaji so wameniomba dola 100 ili wampe mdau mmoja anakuja huku Tanzania, anilitee badge yangu ya kazi.
Nitakuwa analyst hapo New York tukisolve kesi ngumu ngumu na genious wenzangu wa Kimarekani.
Kila heri wadau tutawasiliana nikianza kazi.
britanicca Troll JF una vitukoKiutani utani hivi hivi nimefanikiwa kupata kazi FBI.
Walinifuata facebook tukajadiliana mambo kadhaa wakaniajiri hapohapo.
Kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine wamesema mambo fulani fulani yanasumbua kuhusu usafirishaji so wameniomba dola 100 ili wampe mdau mmoja anakuja huku Tanzania, anilitee badge yangu ya kazi.
Nitakuwa analyst hapo New York tukisolve kesi ngumu ngumu na genious wenzangu wa Kimarekani.
Kila heri wadau tutawasiliana nikianza kazi.
FBI ya chato.Kiutani utani hivi hivi nimefanikiwa kupata kazi FBI.
Walinifuata facebook tukajadiliana mambo kadhaa wakaniajiri hapohapo.
Kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine wamesema mambo fulani fulani yanasumbua kuhusu usafirishaji so wameniomba dola 100 ili wampe mdau mmoja anakuja huku Tanzania, anilitee badge yangu ya kazi.
Nitakuwa analyst hapo New York tukisolve kesi ngumu ngumu na genious wenzangu wa Kimarekani.
Kila heri wadau tutawasiliana nikianza kazi.
Amka ukalime nyanya za mama ako kulala sana ndio kuna pelekea unaota upuuzi.Kiutani utani hivi hivi nimefanikiwa kupata kazi FBI.
Walinifuata facebook tukajadiliana mambo kadhaa wakaniajiri hapohapo.
Kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine wamesema mambo fulani fulani yanasumbua kuhusu usafirishaji so wameniomba dola 100 ili wampe mdau mmoja anakuja huku Tanzania, anilitee badge yangu ya kazi.
Nitakuwa analyst hapo New York tukisolve kesi ngumu ngumu na genious wenzangu wa Kimarekani.
Kila heri wadau tutawasiliana nikianza kazi.
Mkuu naomba namba ya ndugu zako niwaambie wakufunge kamba safari Dodoma
Kashapigwa sio atapigwa.Utapigwa na kitu kizito kisogoni.
FBI hawaajiri watu ambao sio raia wa Marekani.