Nimefanikiwa kupata kazi FBI, wameniomba dola 100 kwa ajili ya badge


Wapelekee wajanja hiyo hela ukamilishe ujinga wako!
 
Hii ndio tabu ya kulala umekula mafenesi, ona utomvu umefika hadi kwenye ubongo
 
Wahi aisee..tena waongezee 50.00 ili waharakishe...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. Diamond anakwambia #nawaza tu #achanikaekimya
 
Hivi kumbe bado waru wanapigwa kijinga namna hii.
 
😄Tuma kwenye namba hii....
 
Hongera sana Mkuu.

Ili wakuone wa maana watumie Dola 200 kabisa. Ukifika Nyuu Yok utashangaa wanakuongezea mshahara zaidi... Msalimie sana Biden maana mtakuwa Ofisi Jirani kabisa.

Mwambie Bongo bado vyuma havijaachia.
 
Utapigwa na kitu kizito kisogoni.

FBI hawaajiri watu ambao sio raia wa Marekani.
Kwa hili wanaajir Ali bin Mohammed personal secretary wa bin Laden alikuwa ni FBI double agent na alikuwa mmisri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…