Uchaguzi 2020 Nimefanikiwa kushawishi ndugu zangu kumpigia kura Tundu Lissu

Ccm na vyama vya upinzani tuungane kuondoka huyu mtu.
 

NIPATIE NUMBER ZAO, NA NIPE DAKIKA 3 KWA KILA MMOJA, NINAKUHAKIKISHIA WOTE WATAMPIGIA KURA MAGUFULI
 
Umefanya kazi nzuri sana. Mungu akubariki
 
Kila mmoja wetu afanye hivi ni jambo jema sana.
 
Binafisi kwenye Group letu la Telegram nimefanikiwa kuwashawishi member wote zaidi ya 600.
kuhusu ndugu zangu na jamaa wanaonizunguka wao kula ni kwa Lisu.
 
Mtu anayejitapa kuipigia kura Ccm should never reach out for help pale mambo yakimuendea kombo
 

basi sawa
 
Mie nilishamalizana na famili,mabroo wote na masista ninao sasahivi ni vijiwe ninavyokunywa yaani nawaonesha video za lissu akipiga spana,nina uhakika kwa juhudi zangu binafsi sitakosa kumpatia lissu kura hata mia tano,dhidi ya nduli
 
Hongera kwa kuwaingiza MKENGE!
 
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
Eti hazina na funguo za hazina Tanzania nzima zipo kwa mtoto wa dadake pombe eti zabuni za ujjenzi anapewa mke mwenza wa Pombe
We can't breathe
 
Mie nilishamalizana na famili,mabroo wote na masista ninao sasahivi ni vijiwe ninavyokunywa yaani nawaonesha video za lissu akipiga spana,nina uhakika kwa juhudi zangu binafsi sitakosa kumpatia lissu kura hata mia tano,dhidi ya nduli
Kazi nzuri mkuu, tupambane kuwaangusha hawa ccm.
 
Salaam,

Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu binafsi nimefanikiwa kuwashawishi watu kadhaa kuongeza ushindi kwa Tundu Lisu.
Nilianza na mke wangu ambae yeye kajiandikisha hapo kiwalani nikamweleza ameelewa na kuahidi atampigia kura...

Alisikika mlevi mmoja aliyekiwa amevalia tshirt ya kijani na kofia ya njano...Miaka mitano iliyopita nilikuwa kama niko kwenye shimo lenye hewa ndogo halafu limejaa nyoka.. tarehe 28.10 ndiyo natoka humo, sirudi tena humo shimoni. 'I cant breath'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…