Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Nunua vocha Sasa, usikae una lalamika ka ume kula MotoππSawa,natumia meggasim/ivitta.
Chumvi ya 1000 una Malizaa, au ndo mashauziππ15elf imekushinda mtaji utaweza?πππ
π€£π€£π€£π€£Kakutana na kamanda wa JWUlivyojibu haraka.. et Karibu na Geto.. Ulitegemea kuambiwa.. AYA NAKUJA
Nipatie kadi yako ni recharge.Nunua vocha Sasa, usikae una lalamika ka ume kula Motoππ
Card ndo nini, maana hata card za harusi siku hizi sipokeiππNipatie kadi yako ni recharge.
π€£
π€£π€£π€£ sijasomaKirefu cha BF ni?
1. Boyi Friendi? au
2. Bakari Faustine? au
3. Bladi Fakeni?
Utumbo unanicheza ujueππ€£
Sifahamu pia ,nimekuomba kadi na wewe inaniandikia card.Card ndo nini, maana hata card za harusi siku hizi sipokeiππ
Labda nikupe cart au cat ππSifahamu pia ,nimekuomba kadi na wewe inaniandikia card.
π€£
SawaaaaLabda nikupe cart au cat ππ
Hahahahahahaha..kuna mdada aliomba heka ya lunch nikamrushie 15K akasema haitoshi ...toka siku hy nika mblock na futa na namba yenyeweHahaha, hatuna.. ila mwingine ata kuambia haitoshi
Hahahaha, dah 15 k haitoshi!!, Sema mbona kubwa Sana hiyo.Hahahahahahaha..kuna mdada aliomba heka ya lunch nikamrushie 15K akasema haitoshi ...toka siku hy nika mblock na futa na namba yenyewe
Ni kweli 15k kuna sehemu ukienda kula haitoshi. Kuna sehemu nyingine unakula na chenchi inabaki. So ulivyomblock ulimkoseaHahahahahahaha..kuna mdada aliomba heka ya lunch nikamrushie 15K akasema haitoshi ...toka siku hy nika mblock na futa na namba yenyewe
Ndio maana nikafuta na kublock ..hapo nayakutolea ..so anapata 13k ...msosi na vocha anapata ..akajifanya matawi wkt najua choka mbayaHahahaha, dah 15 k haitoshi!!, Sema mbona kubwa Sana hiyo.
Watu Wana pewa 5k na Wana ishi vizuri tu.
Hahahahahaha kwa yeye yule 15K inamtosha na vocha anapata ..kiwango chake ni hiyo hana hadhi ya kuzidi 15K lunchNi kweli 15k kuna sehemu ukienda kula haitoshi. Kuna sehemu nyingine unakula na chenchi inabaki. So ulivyomblock ulimkosea
Sasa kama unampelekaga kula samakisamaki unadhani hiyo ingemtosha?hapo angetoa ange aki na 13 tuππHahahahahahaha..kuna mdada aliomba heka ya lunch nikamrushie 15K akasema haitoshi ...toka siku hy nika mblock na futa na namba yenyewe
Sister Kuna kitu Ina itwa freedom of choice,, Kama haitoshi si una Tafuta sehemu nafuu.Ni kweli 15k kuna sehemu ukienda kula haitoshi. Kuna sehemu nyingine unakula na chenchi inabaki. So ulivyomblock ulimkosea
Hahahahaha...kwa hadhi yake hiyo ilikua inamtosha sana na vocha anapata ...hana hadhi ya huko usemakoSasa kama unampelekaga kula samakisamaki unadhani hiyo ingemtosha?hapo angetoa ange aki na 13 tuππ
ππππ alitaka kubadilisha mazingiraHahahahahaha kwa yeye yule 15K inamtosha na vocha anapata ..kiwango chake ni hiyo hana hadhi ya kuzidi 15K lunch
Sisi kwetu TMK hiyo tunabakiza Hadi ya mchezo ya siku tatu kimbembe huko kwenuπNdio maana nikafuta na kublock ..hapo nayakutolea ..so anapata 13k ...msosi na vocha anapata ..akajifanya matawi wkt najua choka mbaya