Nimefanikiwa kuukwepa mzinga wa JWTZ muda huu

Sister Kuna kitu Ina itwa freedom of choice,, Kama haitoshi si una Tafuta sehemu nafuu.
👉Why ulazimishe kitu, ambacho we huwezi?!
Ni kweli. Sometimes mtu anataka kubadilisha upepo. Mimi napenda sana kiepe kuna mahali ni uswazi nakila kitamu ila kuna muda hua namiss mfano pepper steak na chips hizo uswazi hakuna.

Moro town kuna sehemu chips yai kuna za buku jero na mishkaki 200. Mtu anabugia hapo halafu anataka asogee mahali classic kucheua
 
Kucheua ndo 15k??, Mi nampima mtu kwa uelewa wake.
 
Ni kweli. Sometimes mtu anataka kubadilisha upepo. Mimi napenda sana kiepe kuna mahali ni uswazi nakila kitamu ila kuna muda hua namiss mfano pepper steak na chips hizo uswazi hakuna.

Moro town kuna sehemu chips yai kuna za buku jero na mishkaki 200. Mtu anabugia hapo halafu anataka asogee mahali classic kucheua
Sasa bora ukitaka kucheua jipange sio upige mzinga ili ukacheue unachotaka
 
Back
Top Bottom