Nimefanikiwa kuukwepa mzinga wa JWTZ muda huu

Nimefanikiwa kuukwepa mzinga wa JWTZ muda huu

Ah dada unaombaga kumi na 5 nn

hili nalirudia kila siku
Hapo mfano wangedate for 2 wks akaomba 15 haina noma mtu mmezoeana kidogo

Tuna siku 1 umeomba 15 je week ikiisha itakuaje

Sema hutakaa uelewe mpaka utakapokua mwanaume
Wanaume hzi 15 kwa siku ukikaa vibaya unaweza tema 100k kwa siku
Tatizo mna wengi Sasa🙆
 
Tatizo mna wengi Sasa🙆
No
Sio tuna watu wengi

Wanawake mnaomba hela hadi marafiki nowadays tena distant friends

I’ve had a scenario mdada kwenye contact yangu ambaye hatuwasiliani hata mara 2 kwa mwezi nikaombwa hela tena zaidi ya 15k

Mtu unaona kabisa huyu mtu hayupo serious
Na wanawake mnaona sawa kwasababu nowadays ni kama kila kitu kinawasapoti kuomba hela mnaomba ovyo ovyo tu

Afu kuna watu wanalalamika 15k
Hivi mnaijua 15k nyie😁😂
 
Hahahahahahaha...sawa sawa ..15k eti haitoshi...sasa ukiwasoma humu ndio wanadanganyana sana..
 
Back
Top Bottom