Nimefanikiwa kuukwepa mzinga wa JWTZ muda huu

Nimefanikiwa kuukwepa mzinga wa JWTZ muda huu

Tafuta hela bro acheni kujificha kwenye vichaka visivyowapa furaha.
Sio mtu wa ibada
Hunywi pombe
Huvuti bangi wala sigara
Kitimoto huli(msabato au muislam)
Haya na hao madem ndo ivo tena unawakazia hata 15k, unajifanya upo no fap challenge, sijui kataa ndoa..

Mazee mtakufa mmesimama shauri zenu.
Furahia you only live once, kalaghabaho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Nilichofurahia wewe ni muwazi na umemchana vile unataka bila kupepesa .
Sio hawa wajinga wengine , kuna kamoja kila siku kanamuahidi dada kumnunulia gari wakati mimi nakajua hata baiskeli hakana , walimu Mungu anawaona .
 
Tafuta hela bro acheni kujificha kwenye vichaka visivyowapa furaha.
Sio mtu wa ibada
Hunywi pombe
Huvuti bangi wala sigara
Kitimoto huli(msabato au muislam)
Haya na hao madem ndo ivo tena unawakazia hata 15k, unajifanya upo no fap challenge, sijui kataa ndoa..

Mazee mtakufa mmesimama shauri zenu.
Furahia you only live once, kalaghabaho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ushamba yaani 15k unaleta uzi ungeombwa mtaji ungesingizia hela nyingi mzee jitafute sana 15k sio hela ni uchafu na huna mfukoni
 
Back
Top Bottom