Nimefanikiwa kuwauzia kanisa na msikiti eneo moja

Aliyekuambia wakristo na waislam ni maadui ni nani?
Linapokuja suala la kiimani kila mtu anatakiwa ashinde mechi zake ..linapokuwa suala la kijamii no matter lazma tuwe pamoja
 
Mbona kule Dar pale Mpingo House ilipokuwa Wizara ya Utalii kwa jirani pale Kanisa na Msikiti vimejengwa kwenye eneo moja, yaani wametengenishwa na kuta tu, sioni kuwa umefanya dhambi
 
Kwa hiyo mleta uzi ni mchonganishi wa kiwango cha juu.Halafu baadaye tunaanza kuwalaumu watendaji wa serikali kwamba ndiyo chanzo cha matata.Kumbe kuna watu wanafanya yao huku.
 
Hakuna cha ajabu hapo ila hapa unachangamsha genge??
 
Dini moja ya wapi? Catholic hawanunui hovyo hovyo wale na hawanunui miguu miwili, wewe angalia hata humu kwenye makazi mapya wapo na maeneo yakueleweka.
Vatican ndio iliyoanzisha mecca
 
Ila hapo MSAGA SUMU umeisaga vizuri.

Mzigo uliobaki nao utunze kule wameangamiza mmea hadi mbegu
 
Linapokuja suala la kiimani kila mtu anatakiwa ashinde mechi zake ..linapokuwa suala la kijamii no matter lazma tuwe pamoja
Waislamu wanaoa wakristo na wakristo wanaoa waislam
Yanga wanaoa Simba na Simba wanaoa Yanga
CDM wanaoa CCM na CCM wanaoa CDM
Msondo wanaoa Sikinde na Sikinde wanaoa Msondo
Makabila yote nchini yanaoleana na maisha yanakwenda

Thanks to the late Mwl. Julius Kambarage Nyerere for bringing us together
 
Wewe kunywa bia na kula kitimoto tu sisi hatuna haja na kichwa chako ambacho kazi yake Ni kufugia nywele tu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Bia haramu, kitimoto halali.
Karibu kitimoto hapa Pugu sekondari kuna mahali wanaikaanga vizuri
 
Jaribu kuweka hiyo bar Kama utamliza japo robo balimi kabla hujakumbana na amsha amsha...sisi hatutakagi ujinga..
Mkuu, home kwetu kuna bar, na fence yake imepakana na fence ya msikiti. Sasa sijui unaongelea amshaamsha zipi? Au mwenzetu uko Saudi Arabia?

Hii ni nchi huru asee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ