Nimefanya kazi na wahindi wiki moja hawa jamaa wanapenda kupelekesha wabongo asee

Inategemea na mzungu mkuu. Nilikutana na fala mmoja mukaburu pale Arusha. Hatakuja jisahau. Hata sasa nikimtumia mail huwa ananiuliza unataka nini. Yaani kwenye nchi yangu ake Muhindi, sijui Mchina au Mzungu aninyanyase?

Pumbavu umaskini usitutoe utu wetu.
 
Kuna Jamaa ali tukanwa na muhindi tusi, naye aka rudisha lile lile.

muhindi si aka maindi Eti ana jifanya mkali, ali chezea mbata za chap na hamna mtu ali ingilia.
Eti kuja okoa Mimi, hii mtu taka toa mimi rohoπŸ˜‚πŸ˜†
Ni sahihi. Umaskini usitufanye tunyanyaswe kwenye ardhi yetu. Yaani nchi yangu Muhindi anakuja kukutukana na kukudharirisha. Si bora nikupe figo kulikonkunyanyaswa na hawa vibaka wa kichina.

Nawang'oa meno. Pale Enza na Usariver shamba la vifaranga na vyakula.vya kuku miaka hiyo hawatanisahau. 😁😁😁
 
Oya ni kweli nafanya na wajapan na wazungu wana care a lot pia wanasisitiza kuheshimiana kazini.
a
 
Niliwahi Fanya nao kazi miezi miwili nilitumwa na kampuni nilikuwa nafanyia kazi kama mtalaamu so wale jamaa noma huyo supervisor anataka kunipeleka nikawa namkazia anapiga sim saa nane usiku nitume report WAKATI report inatumwa saa mbili asbh wakija mabosi wake wahindi wanamtukana mwisho wa siku ikabidi awe mstarabu tuende sawa..... Akawa anaongea lugha ya upole.
 
Wahindi na wachna Hizi race mbili Wanafanya kazi kama mchwa,wanatunza muda.na huwezi kuzembea wakuangalie tu!
UKIWA MVIVU KAMA WALIVYO WATANZANIA WENGI.lazima uwachukie!
Wahindi ni choka mbaya sana.

Huko India kuna Uswahilini za kutisha, omba omba wahindi na waendesha maguta, na wanakunya barabarani.

Wakibahatisha kuja TZ hawacheki na mtu.

Wakikuta boya na zezeta, utatumikishwa kama punda kihongwe wa MKikuyu kwa posho kiduchu.



View: https://youtu.be/L8H_I-JvJgQ?si=-Rau2oZ62m-twBi_
 
KAma hujawahi kuona shetani, fanya kazi na Kaburu.

Yale Mazungu ya Afrika kusini ni takataka
 
Hakika, nasikia wanatumatuma balaa
Hawaridhiki na hawataki kukuona umekaa umetulia. Kama ni kazi ya masaa 8, atahakikisha masaa 8, yote hakuna hata kunywa maji na kugombezwa juu.

Na kwenye maviwanda ya wahindi, utakuta kina Mo wanayaleta kutoka huko India na Pakistani ndio kama wasimamizi wa vibarua watanzania.

Unakuta jitu limeokotwa India au Pakistan lilikuwa linaendesha Guta limeletwa, hapa.

Halicheki na mtu


View: https://youtu.be/L8H_I-JvJgQ?si=-Rau2oZ62m-twBi_
 
Kuna Jamaa ali tukanwa na muhindi tusi, naye aka rudisha lile lile.

muhindi si aka maindi Eti ana jifanya mkali, ali chezea mbata za chap na hamna mtu ali ingilia.
Eti kuja okoa Mimi, hii mtu taka toa mimi rohoπŸ˜‚πŸ˜†
hahah Bora alivolifumua
 
hahah ukang'oa meno bila ganzi
 
Siku nyingine funga mlango mpe anachotaka....akishtaki unakataa
 
Ukute huyo boss wako mhindi ni Khanji kapoor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…