Nimefanya kazi na wahindi wiki moja hawa jamaa wanapenda kupelekesha wabongo asee

Kuna siku nilipewa deal la kwenda kutengeneza simu iphone 12 pro max kwa muhindi ofisin kwake sayona alitaka niitengeneze hapo hapo ilikua nireplacement tu nikatoka na vifaa vyangu jamaa alivyonipokea akaanza kunipa maelekezo huku aknchukulia poa akaanza kuniharas wakati nafungua kioo asee siku hyo nlkua nshavurugwa na wife home niliwaka nae hakuamini nilkua nshaifungua simu nikamwambia siifungi nasepa zangu unaniona mm ni mpuuzi sielew nafanya nini ama? Nikafunga kimkoba changu cha tools akaita wenzie wakaja wawili wakawa watatu wakaanza chapa kihindi tu na mimi nimefyumu kinoma mmoja akaniulza changamoto nini nikamwambia amwambie atulie asinipelekeshe asinulize ulze sana na kunielekeza kitu najua, yule akanituliza nikafix akaanza oooh kioo kin danc dance haikua hvi nikamwambia nipe pesa nisepe akanilipa kwa hasira nikapokea kwa hasira akapiga simu kwa alieniunga nae asije nituma kwake tena 😂😂nilimuona ni mpumbavu sana.

Baadae naambiwa ni mla unga ule mda alikua na arosto huwa anakuaga hvyo nikaona nimpuuzi tu.

Wahindi ni wanaona watu weusi ni ng’ombe sijui.
 
Kuna mtu aliandika Ule Uzi wa the dark side of business
Alisema hawa jamaa wanafanya energy manipulation kwa waswahili na mambo flani ya giza unabaki tu ukiwatumia wao na huendelei forever huku wao wakijitengenezea utajiri.
Hebu lete huo uziii kidogo
 

Kuna msemo usemao baniani mbaya kiatu chake dawa ukweli ni kwamba wahindi ndio jamiii pekee hapa nchini

Imetoa ajira nyingi kwa watanzania wa level zote kuliko jamii nyingine nyote

Ukweli ni kwamba wahindi wakisema wanafunga biashara zao na makampuni yao hapa nchini itakuwa ñi kilio
 
Yeah jamaa wapumbavu sana hata Mimi nimefanya naye kazi kama mhasibu wake yeye hajui chochote ila sasa anavyokuingilia kukupa maelekezo utazani yeye ndo professional
 
Jamaa jau sana wanapenda kupelekesha watu as if wao ndo binadamu class A wengine takataka
Huo upuuzi me ndo nimekataa
 
Kuna mswahili unamfahamu ametajirika akiwa anafanya kazi kwa hao jamaa?
 
Back then nilishawahi kwenda kwenye kiwanda chao Cha Nondo pale mwenge wanalipa vibarua 5k kutwa na kazi ya kiwanda Cha Nondo ilivyo
Hawafai wale
 
Wahindi hawajatoa ajira. Wanaajiri vibarua.

Mhindi hana pa kwenda zaidi ya hapa
 
Nimefanya nao ofisi moja miaka ya nyuma kidogo sikuwai kupelekeshwa hata siku kutokana na nilichokuwa nafanya ofisini kwao,
ila niliacha kazi kutokana na jinsi watu wa chini yangu manyanyaso waliyokuwa wanapitia moyo haukuweza kuvumilia kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…