Nimefanya kazi na wahindi wiki moja hawa jamaa wanapenda kupelekesha wabongo asee

Makaburu wanatokea South Africa na wao ni wale wale tu kama wahindi na wachina. Ngoja nikuongezee wazungu wengine wa hovyo,ukikutana na mzungu kutoka UK yaani united kingdom,hao nao ni hovyo balaa. Wakija huku unaweza msaidia kitu ila kujiongeza ni sifuri.
 
Nimefanya nao ofisi moja miaka ya nyuma kidogo sikuwai kupelekeshwa hata siku kutokana na nilichokuwa nafanya ofisini kwao,
ila niliacha kazi kutokana na jinsi watu wa chini yangu manyanyaso waliyokuwa wanapitia moyo haukuweza kuvumilia kabisa..
Itoshe kusema PEOPLE WILL LOVE YOU & SUPPORT YOU WHEN THERE'S BENEFICIAL...

Mfano uwe una perform task ambazo wao hawawezi kuzifanya , replacement yako iwe inaamua hatma ya kampuni niliwai kufanya kazi na hao hao nilikua nachelewa kazini Ila akichelewa mwingine bagoshaaa.. performance yangu ilikua above 100%% so kumtrain mtu Kama Mimi walijua itakua ngumu..ndio maana Kuna umuhimu wa kujengeana uwezo watu maeneo ya kazi ili kuondoa U GODFATHER Kama uliokua umejengwa kwangu.
 
Siyo kigezo cha kutesa watu hicho..hawa viumbe wana roho mbaya tu by origin.

Nilishafanya kazi na wakorea nilienjoy sana jamaa wapo peace sana japo wanafoka as asians ila ni wana sana
 
Cc The Mongolian Savage bin Maghayo
 
mafinga hapo wamejikita katika sekta ipi hao?
 
Wakati tunakuja humu jf kulia shida kuwa maji yametufika shingoni na kutoa ahadi kuwa tutΓ fnya kazi yoyote, matokeo kumbe ndio haya muhindi wa jf anakuunganisha na muhindi mwenzie huko upanga unaenda unapiga kazi wiki unakimbia halafu tunakuja jf kumshitakia...
We Ulikuwa na shida kweli?
 
1. Waarabu
2. Wachina
3. Wahindi
Hawa wakiwa mabosi wako unakiona cha mtema kuni. Huwa nasema sisi waafrika hasa wabongo ni wavivu, lakini kwa hizi jamii hata uchape kazi namna gani, ndiyo unakuwa kama umewachochea wakuzidishie. Umewahi kuona waiter wa mgahawani yuko mmoja tu, mgahawa mkubwa una wateja wengi, na waiter anatakiwa kukimbia kila anapo- move kutoka A kwenda B? Basi kwa wachina ipo hii. Waarabu ndiyo kabisa. mtu mweusi huwa wanamwita mtumwa. Yaani kama sisi tunavyosema ''nina dada wa kazi'' wao wanasema ''nina mtumwa''
 
Inauma Sanaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…