BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Huu ndio ukweli na mjadala ulipaawa kufungwaWahindi na wachna Hizi race mbili Wanafanya kazi kama mchwa,wanatunza muda.na huwezi kuzembea wakuangalie tu!
UKIWA MVIVU KAMA WALIVYO WATANZANIA WENGI.lazima uwachukie!
Watanzania wengi ni wazembe, watoro na wezi wa mali ya muajiri. Mashirika ya umma yanakufa kwa sababu yamefuga watu kama Mazima1 kwa wingiNaandika hivi sio kwa sababu za kiubaguzi au vinginevyo,
Nimefanya kazi na wahindi ndani ya wiki moja asee Hawa watu wanapelekesha balaa
Sijui watu waliofanya nao kazi miaka kadhaa watakuwa na hali gani mentally
Nahisi ukiwafanyia vipimo utakuta Wana magonjwa ya moyo au pressure maana sio kwa kupelekeshwa vile
By the way nimewapiga chini haraka sana
Ila hawa watu kiboko asee🙌🙌🙌
Hasa mchina anaejua maneno mawili matatu ya kizungu.Umewahi kupiga deal na wachina ?
Wahindi hawana hela ila wanaigiza kama wanahela. Siyo kwamba wanapenda kupelekesha wabongo asee... Hapo ni umaskini ulio nao ndo shida ,
. Ungekuwa na vibunda mngeongea lugha moja safi kabisa
Wahindi ndio waajiri wakuu hapa BongoKuna msemo usemao baniani mbaya kiatu chake dawa ukweli ni kwamba wahindi ndio jamiii pekee hapa nchini
Imetoa ajira nyingi kwa watanzania wa level zote kuliko jamii nyingine nyote
Ukweli ni kwamba wahindi wakisema wanafunga biashara zao na makampuni yao hapa nchini itakuwa ñi kilio
CV za kukopi and paste ndiyo faida zake hizo.Sitojicommit Tena hivo,unaweza kufia kwenye kazi za watu😂
Basi ndo maana wanakuwa wabahiri kupitia kiasi, ili kikisha hata sumuni haipungui, 😃😃Wahindi hawana hela ila wanaigiza kama wanahela
Ni atari sana aisee mi nimefanya nao kaz kama miaka sita ivi sema mi nilikua kibur sana nlikua natukanana na boss kweny msg kama msela wangu tu kesho yake asbuh anawaita wale wazee waliokaa sana et wanisuluhishe aloo nlikua nawaleta sana akiongea na mi naongea kuna mda mwingine akitembea mi namcheka yan ilikua ni shida nikaj kuacha ile kaz kwa hiari yangu mwenyew na walisikitika sana saiv tunapishana barabaran akiniona anafurah tu yan saiv eshima kwa adabuKuna Jamaa ali tukanwa na muhindi tusi, naye aka rudisha lile lile.
muhindi si aka maindi Eti ana jifanya mkali, ali chezea mbata za chap na hamna mtu ali ingilia.
Eti kuja okoa Mimi, hii mtu taka toa mimi roho😂😆
Wahindi wanapendwa kwenye hayo makampuni kwasababu ni waoga na watiifu. Na ni watu wanaojua kucheza na taarifa za kihasibu kwaajili masuala ya kodi.Wahindi ndio ma CEO kwenye makampuni makubwa huko Marekani wako vyema kwenye Management, mnapenda ujinga ujinga wale hawana.
Dangote hata kule kwao Nigeria kawakabidhi kila kitu Wahindi wasimamie
Mchina ni kweli anafanya kazi.Wahindi na wachna Hizi race mbili Wanafanya kazi kama mchwa,wanatunza muda.na huwezi kuzembea wakuangalie tu!
UKIWA MVIVU KAMA WALIVYO WATANZANIA WENGI.lazima uwachukie!
Majinga sana hao watu wanakulipa mshahara laki 3 alafu wanakupa mzigo wa millioni 30 ukauze wendawazimu kabisa..Naandika hivi sio kwa sababu za kiubaguzi au vinginevyo,
Nimefanya kazi na wahindi ndani ya wiki moja asee Hawa watu wanapelekesha balaa
Sijui watu waliofanya nao kazi miaka kadhaa watakuwa na hali gani mentally
Nahisi ukiwafanyia vipimo utakuta Wana magonjwa ya moyo au pressure maana sio kwa kupelekeshwa vile
By the way nimewapiga chini haraka sana
Ila hawa watu kiboko asee🙌🙌🙌
Wabongo wengi ni wavivu.Naandika hivi sio kwa sababu za kiubaguzi au vinginevyo,
Nimefanya kazi na wahindi ndani ya wiki moja asee Hawa watu wanapelekesha balaa
Sijui watu waliofanya nao kazi miaka kadhaa watakuwa na hali gani mentally
Nahisi ukiwafanyia vipimo utakuta Wana magonjwa ya moyo au pressure maana sio kwa kupelekeshwa vile
By the way nimewapiga chini haraka sana
Ila hawa watu kiboko asee🙌🙌🙌
Hata ukienda unaitwa John atakwita jina rahisi kwake Babani au Alii Kuja hapa..Shabani pana nini sasa.....shioni kitu fanyaaa umekaaa tuuu.... ahahaa
Fanya kazi dogo acha uvivuNaandika hivi sio kwa sababu za kiubaguzi au vinginevyo,
Nimefanya kazi na wahindi ndani ya wiki moja asee Hawa watu wanapelekesha balaa
Sijui watu waliofanya nao kazi miaka kadhaa watakuwa na hali gani mentally
Nahisi ukiwafanyia vipimo utakuta Wana magonjwa ya moyo au pressure maana sio kwa kupelekeshwa vile
By the way nimewapiga chini haraka sana
Ila hawa watu kiboko asee🙌🙌🙌
Hii ndio shida ya kufanya kazi kwa maskini mwenye uwezo wa milo mitatu anajiona TajiriNilishawaambia hapa duniani waajiri ni wawili tuu. Mzungu na mjapan. Wengine wote tunafanya kwa sababu ya kuganga njaaa. Muajiri yee raha yake akuone muajiriwa unatahabika.
Alafu ndio utasikia tuanze kwa sala tufu ge kwa sala 🤣🤣🤣🤣
Mzungu na mjapan usikii ujinga wa sala wala nini lakini ndio wanajua kujali muajiriwa