Nimefanya Maamuzi Sahihi na Makini Niliyoahidi Takribani Saa 72 zilizopita, Naelekea ....

Ulivyotangaza Utatoa Maamuzi Magumu Ijumaa, Uviccm, Walipiga Kweli Longolongo, Oo Anakwenda Cc B, Wengine Wakasema Itakuwa Kweli Mbona Hakanushi, Nikawambia Sio Kila Kichaa Ni Wa Kumjibu, Mimi Ninavyomfaham Beni Hawezi Kujiua Kisias Kilahis Hivyo, Yani Afe Huku Anajiona Hawezi, Ameona Wakina Shonza, Mwampamba, Shitambala, Wakipotea Kabisa, Huyu Hawezi, Nashukulu Umenisitili, Na Umeonyesha Sikukupigia Upatu Bule, Pokea Saluti Yangu, Unakwenda Bungeni.
 
Ben Saanane,
U have my backing already kamanda.... Go!
 
Last edited by a moderator:
Tuache siasa za kipuuzi, kwani UKAWA wanavyotangaza kuitaka nchi kwani ccm wameichoka.

Acha Demokrasia ifanye kazi, kama kushindwa akashindwe kwenye vikao vya maamuzi, kama tutasubiria mpaka ayachoke madaraka ndio tutangaze kuyahitaji huo utakua utawala wa kifalme na hatutakua na uthubutu wa kuipinga ccm.
 
Ben nakufahamu japo hunifahamu!

Anza kujifunza kutawala jukwaa kama akina Godbless Lema
 
Vp chama kinaruhusu makundi maalumu kuja kukuchangia hela ya fomu watu tuanze maandamano?? Au muda bado???
 
Selasini ni mbunge makini sana wanarombo wanampenda ben aendelee na kazi yake ya kubeba sumu
 
Ben ni mtu anayeitajika sana bungeni kwa kijana anayependa hamsha hamsha. Kama nilivyosema jana chadema iangalie namna ya kumpa nafasi huyu mchizi
Huyu jamaa hata akilikosa jimbo viti maalumu lazima vimhusu, ana vitu vya ziada ambavyo ataviongeza kule bungeni.
 
Kaka Ben Saanane Naamini upo katika njia sahihi nami nakuunga mkono kaka. Taifa linahitaji vijana wanamapinduzi kama wewe.
 
Last edited by a moderator:

Well said Commander! Natumaini ushauri mtia nia atauzingatia, lakini ni muhimu kila mwanachama atambue kwamba mwaka huu ni mwaka wa ukomavu wa kidemokrasia ndani ya chama, ni mwaka ambapo tutashuhudia vijana wengi wakijitokeza kugombea nafasi ndani ya chama mfano jimbo la Mvomero ambalo CHADEMA serkali za mitaa imeshinda kwa zaidi ya 70%, watia nia wapo zaidi ya 30 na katika hao watia nia karbia 98% ni vijana na wenye uwezo wa kutosha hivyo naamini demokrasia itachukua nafasi yake.

Chama chetu jambo hili kinaleweza, mfano kwenye uchaguzi mdogo wa igunga Tabora 2011 walikuwa watia nia 15 lakini aliyeshinda na kupitishwa na chama alikuwa ni mtu tu wa kawaida mwalimu wa shule ya msingi Mr.Joseph Kashindye na jambo hili lilitupa moyo sana wanachama.
 
Reactions: DSN
Umetundea haki na kwa dua,sara,mshikamano na imani tuliyonayo juu yako tutakupeleka bungeni kwa kura za mafuriko. Salute kwako kamanda!
 
Maelezo mengi lakini hakuna la maana hata moja hapo. Imekushinda BAVICHA, jimbo utaliwezea wapi wewe?

Wewe una la maana lipi zaidi ya kusifu na kutetea mafisadi na majangili mitandaoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…