uzolelanga
Member
- Sep 16, 2020
- 79
- 172
Umenikumbusha mmoja ivi maana nafanya nao kazi hao watu aseee acha tu, nilimuacha baada ya kusema nimuoe na mm nimeamua kua single faza, tangu apo siwataki tena ila ukweli ni kwamba manesi wanafanya vzr kuanzia usafi na wengi ni wazuri sana km uyu ninae mzungumzia ni shida.