uzolelanga
Member
- Sep 16, 2020
- 79
- 172
Huo muamala mnene ndio ulisafisha njia.
Na wewe unamaswali??Namba ya Nurse tafadhali
Kuna nyuzi za ujenzi unaweza ukazifatiliaUnachosha na mada zako za kipuuziiiiii
Asante kwa ushuhuda.Umenikumbusha mmoja ivi maana nafanya nao kazi hao watu aseee acha tu, nilimuacha baada ya kusema nimuoe na mm nimeamua kua single faza, tangu apo siwataki tena ila ukweli ni kwamba manesi wanafanya vzr kuanzia usafi na wengi ni wazuri sana km uyu ninae mzungumzia ni shida.
Mimi hapana, nilipooa tu na kipindi cha kiliniki. Nina zaidi ya miaka mitatu sasa...kila nikikohoa naogopa..[emoji1787]kidding!Ndiyo tunapima mwanzo wa mahusiano mkuu na kuahidiana kila mmoja wetu kumlinda mwenzie, vipi nyie?
TafadhaliWe sio mtumishi, we ni muhuni aliejificha kanisani
Hujawahi kuchepuka?Nyie ndiyo mnaziharibu Familia nchi hatimaye na Dunia....
mwanamke ameolewa....Bado unamkimbiza mikoani... and funny enough you are bragging as if .....is a heroic thing.....Brothers lets have self control....
Haujengi lolote kuanzia kwako na kwajamii....Mmewe akijua...tayari umevunja Ndoa sehemu ambayo watoto wangekuwa na kuwa wanajamii wazur kesho.
Haikuwa kimasihara, kulikuwa na appointment kiutu uzima demu alijua nini kitamkuta.huu uzi upelekwe jukwaa la MASIHARA