Hakuna mtu aliyetulia enzi hizi pale unapompa pesa ndio wanaume wanadai ila kuna wale hadi wapende mtu.

So kupendwa mtu ndio atapewa kitamu chake yaani.
So msidhani kila mtu anakubaliwa .
Wengine ni hadi wapende au wavutiwe huyo mzee baba kapendwa na nesi ndio maana na sio wote wamepewa na huyo nesi huyuu mpuuzi anakuja humu kumtangaza huna akili wewe .
Heshimu wanawake kuchapiwa ni siri ya ndani .

Watu wanakula vingi na vizuri ila hawaji kusema na wapo humu.
Labda humu ulipendwa ila wewe ni kapuuzi fulani basi utanyapia tu maofisini mwa watu na ipo siku utapigwa hadi uombe pooo
 
Acha uzinzi
 
Hii imenikumbusha Enzi nasoma Bado niko Kijana Mbichi.... Imenikumbusha baadhi ya marafiki tuliokuwa tunaitana majina ya kutoka Kitabu hicho.


His Excellency The Head Of State.
Kitambo sana brother bila kumsahau president Bawa na Colonel Musante
 

Ndugu yangu....
umeongea kwa hisia saana
 

Duh
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Hatari sana mpiga kinanda mwenzangu, siku moja ntawaletea visa vya wadada wa sauti yakwanza na yapili.

Daah, nina visa vyangu pia, ila sipendagi tu kuvihadithia [emoji23][emoji23][emoji23] Hao wadada aiseeeh….Mungu awabariki sana na aendelee kuwapa moyo wa kuzidi kumuimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…