Nimefanya mapenzi na boss wangu, sijatosheka kabisa
Hayo ni mambo yako binafsi keep it to yourself.
 
..."Ndugu zangu jifunzeni skills ndogo ndogo kama kucheza kinanda, uki master utaruka na pisi za kila aina mpaka wamama utawapata kirahisi sana."
 
Nyie ndiyo mnaziharibu Familia nchi hatimaye na Dunia....

mwanamke ameolewa....Bado unamkimbiza mikoani... and funny enough you are bragging as if .....is a heroic thing.....Brothers lets have self control....

Haujengi lolote kuanzia kwako na kwajamii....Mmewe akijua...tayari umevunja Ndoa sehemu ambayo watoto wangekuwa na kuwa wanajamii wazur kesho.....Unawafunza nini vijana waliopo hapa...kwamba nao waanze wakuige....!
Tutamuiga mzee hakuna mwanamke wa mtu mmoja
 
Tumeambiwa na wazazi wanawake tusome tutawakuta , ila nashangaa wazee wa nyeto na ngiri wanakupga mawe.
 
Kula tu hata mama mchungaji akijilengesha pita nae
 
Back
Top Bottom