Nimefanya mapenzi na housegirl, sasa anataka zamu sawa na mke wangu

Nimefanya mapenzi na housegirl, sasa anataka zamu sawa na mke wangu

Hari kama hii unategemea mini!
 

Attachments

  • 1423196627781.jpg
    1423196627781.jpg
    85.8 KB · Views: 566
mfukuze kwani anamkataba wa kazi si umtengenezee kashfa umfukuze ungekua umepiga shemeji hapo sawa lkn house girl FUKUZA....
 
As my comment above the family value will go down significantly and im not ready to be the witness of my own downfall
 
mfukuze kwani anamkataba wa kazi si umtengenezee kashfa umfukuze ungekua umepiga shemeji hapo sawa lkn house girl FUKUZA....

ukipiga shem inakuwaje tupe uzoefu, maana hili .......................................
 
Wanasema mchagua jembe si mkulima... Kijana safi sana kwa kutimiza haja za mjakazi wako kama anavyowatimizia haja za familia yako.

Mdada wa kazi akitumwa mnataka arudi kwa wakati, asiwe na mazoea na vjana wa jiran, yaan masharti lukuki. Sasa unadhan yy si bnadam!? Yy hahitaji huduma ya mwili!?

Kaka ww piga ila mpe conditions na ajue her place in ur mind na heart.

#kondom ihusu lakn
 
Acha ujuaji mkuu! Labda uwe na hausigel mwenye sura kama jini! Watu tushapiga hawa wadada hadi kutia mimba kabisa halafu tunaitoa! Mtu hana muda wa kupumzika unategemea nini? Kuwa na huruma mupe dushe mara moja moja na utaona anavyonawiri na kuwapenda wanao

We mkali! Ntaifanyia kazi hii!
 
mfukuze kwani anamkataba wa kazi si umtengenezee kashfa umfukuze ungekua umepiga shemeji hapo sawa lkn house girl FUKUZA....

Kakosea nin mpaka amfukuze? Hg anachotaka ni dozi kubwa kama anayopewa bi mkubwa,sio kuonjeshwa tu!
 
ndugu yangu watu humu wa siku hizi watungaji kweli tena wanajiona fahari kumbe ndo
wanajimalza huku hawajijui kabisa

sasa kutana na sumu ya mawe sijui ndo anvyojiita ni mtungaji balaa
Mnatunga hizi story kwa faida gani? Sijawahi kuelewa.
 
Namshukuru MUNGU kwa kuniepushia tabia ya mbaya ya kumtamani house girl. Ahsante MUNGU
 
Wadau hapa juzi kati niliingia tamaa nikamtawanya housegirl wetu hapa home.

Sasa toka nianze kumpatia dozi ya dushelele leo asubuhi nikiwa ofisini kanitumia sms eti jana usiku amesikia wakati Nampa haki wife sasa nae anataka apewe haki sawa kama ya bi mkubwa.

Duuh najuta kuanza uhusiano na huyu binti aisee.

Nile namba ya mkeo nimwambie ili picha liishe..
 
Back
Top Bottom