Nimefanya mapenzi na housegirl, sasa anataka zamu sawa na mke wangu

Nimefanya mapenzi na housegirl, sasa anataka zamu sawa na mke wangu

Kutembea na house girl ni dharau kubwa sana kwa wife, i will never do that hata kama kanikosea aise! Najaribu tu kufikiri upande wa pili, kama ameisha anza kukutumia sms za hivyo, fikiria kama wife anauwezo wa kumtuma chochote huko home!
 
kwakweli hapo umeingia choo cha watoto(pot) yaani ni dharau iliyo wazi kutembea na housegirl wako,,, sijui utaficha wapi hii aibu. na kama ujuavyo hakuna baya ulifanyalo gizani ambalo halitaonekana kwenye mwanga. mbona mkeo anakupenda sana afu wewe humthamini?
 
Haya beki tatu naona unatetea haki yako ila kinachozungumziwa hapa ni heshima itakuepo kati ya wewe beki tatu na mama mwenye nyumba hilo tu na si vinginevyi: ushauri kama unawapenda beki tatu ikiwa ni men kachukue hata wa jirano lkn sio wa humo ndani kwenu ni hatari kwa familia yako nina wee.
Kwan housegirl hafai kwa matumizi ya binadamu? acha roho mbaya ww
 
jamani yaan unamlalaje housegirl huyo si kama mwanao? ila na hiyo ya yeye kutaka haki sawa ndo limenimaliza kabisa aisee. yaan kajisahaulisha kabisaaa. kuwa yeye ni housegirl.
 
Wadau hapa juzi kati niliingia tama nikamtawanya housegirl wetu hapa hom. sasa toka nianze kumpatia dozi ya dushelele leo asubuhi nikiwa ofisini kanitumia sms eti jana usiku amesikia wakati Nampa haki wife sasa nae anataka apewe haki sawa kama ya bi mkubwa. Duuh Najuta kuanza uhusiano na huyu binti aisee!!!

Huu uongo wako peleka FB sio humu kwa Magreat Thinker.......Story za umalaya hazina nafasi humu.
 
Najukia sana wanaume wanaodate na mahouse girl, huko nje wanawake wameisha? Mpaka urudi ndani ya nyumba? Heshima itatoka wapi kati yako house girl na mama mwenye nyumba? Huko ni kujidhalilisha na kudhalilisha familia yako,halafu uoni aibu kuleta uo ujinga wako jamvini,
 
Wadau hapa juzi kati niliingia tama nikamtawanya housegirl wetu hapa hom. sasa toka nianze kumpatia dozi ya dushelele leo asubuhi nikiwa ofisini kanitumia sms eti jana usiku amesikia wakati Nampa haki wife sasa nae anataka apewe haki sawa kama ya bi mkubwa. Duuh Najuta kuanza uhusiano na huyu binti aisee!!!

Rafiki!!!
Ni lini utakuwa (grow up)kiakili na kuelewa majukumu yako kama baba na heshima unayotakiwa kuijenga nyumbani kwako na kwa wale wote wanaokuzunguka...Mungu kakubariki kukuwezesha na cha ziada amekupatia wengine uwatawale na kuwalinda wewe ndio unawafanya asusa?? Sijui unaamini nini but every thing have the price tag!!! Shame on you!
 
Yaan vibichi kama hivyo unavipa kwanza kama miezi 6 ya kupata afya na kubadilisha ngozi..siku kikipata ata mafua unajitolea kukapeleka hospital unampa buku 10 mtu wa mahabara anapima kila kitu....baada ya hapo unajipongeza tu mwenyewe...

..Na huku ndiko unaweza pata vitu brand new ambavyo sikuhizi kwa wake havipo...unajifungulia naniliuu mwenyewe....

Yani watu wengine mawazo mafupi kweli, na nyie ndo mnajiiita baba wa familia(vichwa) .Aliyekudanganya nani kwamba ukimpima house girl magonjwa ukakuta yuko salama ataendelea kuwa salama siku zote. kwa taarifa yako ukiwa unatembea na housegirl na yeye pia anakuwa anatembea watu wa aina yake, mfano kaka muuza genge, mangi wa pale kona, yule machinga mtembeza nguo za kike, house boy wa jirani , mdogo wako wa form two hapo home, au mtoto wako anayeanza kubalehe. Naongea kwa experience hakuna vicheche kama mahousegirl. we endelea na mawazo yako finyu majibu utapata baadae
 
Wadau hapa juzi kati niliingia tamaa nikamtawanya housegirl wetu hapa home.

sasa toka nianze kumpatia dozi ya dushelele leo asubuhi nikiwa ofisini kanitumia sms eti jana usiku amesikia wakati Nampa haki wife sasa nae anataka apewe haki sawa kama ya bi mkubwa.

Duuh najuta kuanza uhusiano na huyu binti aisee!
Seriously, hivi hizi ni habari za kuleta hadharani kweli?
 
Back
Top Bottom