Nimefanya mapenzi na housegirl, sasa anataka zamu sawa na mke wangu

Nimefanya mapenzi na housegirl, sasa anataka zamu sawa na mke wangu

Tatizo binadam mnafanya tendo la ngono kama maji ukihisi kiu unakunywa ndo madhara yake. Tendo la ndoa ni kwa wanandoa tu
 
Wadau hapa juzi kati niliingia tama nikamtawanya housegirl wetu hapa hom. sasa toka nianze kumpatia dozi ya dushelele leo asubuhi nikiwa ofisini kanitumia sms eti jana usiku amesikia wakati Nampa haki wife sasa nae anataka apewe haki sawa kama ya bi mkubwa. Duuh Najuta kuanza uhusiano na huyu binti aisee!!!

Kuandika vitu vya uongo namna hiyo ni ku-promote michepuko ambayo ni chanzo cha UKIMWI. Sijaelewa ili iweje!!
 
Wadau hapa juzi kati niliingia tama nikamtawanya housegirl wetu hapa hom. sasa toka nianze kumpatia dozi ya dushelele leo asubuhi nikiwa ofisini kanitumia sms eti jana usiku amesikia wakati Nampa haki wife sasa nae anataka apewe haki sawa kama ya bi mkubwa. Duuh Najuta kuanza uhusiano na huyu binti aisee!!!

Kwahiyo unataka iweje???
 
Subiri atakapodai ndoa.

Bila shaka ni huyu hapa

Housegirl.jpg
 
Ndoa inavunjika hiyo na kama unamjua Mungu hicho ni kilio kitakachokusababisha uishi kwa shida hapa duniani na pia maisha yako yatakuwa mafupi sana.Mkeo ni mkeo tu,utamrukaje ulale na house girl?Alafu unasema kwenye public kama sifa vile,kamwone kiongozi wako anayekutunza kiroho,kama mwislam nenda panapohusika na kama Mkristo nenda kwa mchungaji.
 
Na Mkeo watu wanajipigia hivyo hivyo hivyo endelea tu kujilia house girl
 
Wadau hapa juzi kati niliingia tama nikamtawanya housegirl wetu hapa hom. sasa toka nianze kumpatia dozi ya dushelele leo asubuhi nikiwa ofisini kanitumia sms eti jana usiku amesikia wakati Nampa haki wife sasa nae anataka apewe haki sawa kama ya bi mkubwa. Duuh Najuta kuanza uhusiano na huyu binti aisee!!!

Wewe ni muongo,kama ni kweli weka picha.
 
Kama kweli unajuta huyo binti muhondoe hapo nyumbani acha uzinzi ni starehe za muda madhara yake ni nakubwa. 1.Heshima ya mkeo imesha shuka 2.Kupoteza baraka zako.3.Liziki zako zitapotea
 
Fasta fasta kabla wife machale hayajamcheza, na kama ni mchapa kazi mzuri na wife ameridhika naye ujiandae pia kujibu maswali magumu toka kwake, usidhani atakubali mumtimue kirahisi rahisi tu.

Asanteni wadau kwa ushauri mi naona nimtafutie tu zengwe aondoke hapa hom
 
Back
Top Bottom