Nimefanya mapenzi na housegirl, sasa anataka zamu sawa na mke wangu

mshahara wa dhambi ni mauti,bali karama ya mungu ni uzima wa milele!
 
Unainaje wife akalipiza kwa kaka wa kazi/ mlinzi
 
ushamuomba mungu msamaa
 
Bado kesho atampangia Wife na Zamu ya Kupikaaa,,Akiuliza tu Why,,kanajibu mi tayari Ni mke Mdogo ,,Unakuta kimenukaaa
 

Yaani hii ndo kitu ulitakiwa ufanye tangia mwanzo...tiGo umekula lakini? kama bado ntakuona boya kichizi
 
Sasa kinakushinda kitu gani kuwapa haki sawa, ikiwa wote wanaishi kwako?
 
Dah yani utaharibu ndoa sasa hivi na kumtia mkeo bonge la aibu ndugu. Si ungetafuta nje aise yani ndani kabisa. Tunalalamika kugongewa ila hii ni mbaya zaidi. Maana huyo housegirl ataanza kumdharau mkeo ujue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…