Nimefanya mapenzi na housegirl, sasa anataka zamu sawa na mke wangu

Nenda kaombewe utakuwa na pepo. Jamani housegirl wako? Hata kinyaa huna? Utakuwa mgonjwa
 

Sio mzima wewe m..at.ak..o yako
 
mahausigeli ni watamu mno,ukionja huachi,ndo maana mi hukaa mbali nao ili nisiharibu
 
wanashinda jikoni so nyepu ina joto la kutosha af mnato,wakati wife anashinda ofisini kwny AC full ubaridi hadi nyepuni
 
badili hilo jina haliendani na tabia yako blessings
 
Last edited by a moderator:
huyo mchomoe faster maana kwenye ukimwi kuna Arv kwenye mimba kuna nini?
 
Mhhh! Huko co kuchepuka, nadhani ni foleni.... Coz its too close.... Honi zinasikika!!!!!
 

ila ndo ujue na watoto wako(kama unao) anaowaangalia watapata shida maana ni watoto wa mke mwenzake utajuta siku akiwapa sumu ukimnyima hiyo unayoita haki yake
 
Jiandae..kitakachofuata sasa ni kukufuata chumbani night kali ukiwa na wife.......
 
yaani kirahisi hivyo..stori ni ya kutunga hebu jipange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…