Nimefanya mapenzi na housegirl, sasa anataka zamu sawa na mke wangu

"Blessings!"
 
Wonders shall never end oooooh

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kwa ile sura ya mkeo ni haki uchepukeee
 
Kanuni kuu ya kutafuta mchepuko! Awe na sifa zinzomzidi mkeo, ss ww unatafuta mchepuko wa hadhi ya chini tena! Daah kweli umemdhalilisha mkeo! Tafuta kitu wife mwnyw siku akikukamata nae ananyoosha mikono!
 
tatizo sana hili jamani! Hasa vibinti vinavyokuja kufanya kazi vikiwa bado havijawahi kunaniliu, halafu kulingana na maisha huko alikotoka anakuja akionekana hana mvuto; unamtunza vizuri, anakula wanachokula wanao, ukiwafanyia shopping wanao na yeye unamtupiamo, analala ktk chandarua, anatazama tv, yenye king'amuzi, n.k.

Ananona, anapendeza na kuzipata zile nyama-nyama alizowajaza Allah, yataka moyo. Dawa ukiona anaanza kupendeza mshauri mama yoyoo mumtimue kabla mtumishi hujaanguka
 
Alisikia vipi wakati unampa dozi mkeo?! Nyumba yenu haina ceiling?!
 
Alisikia vipi wakati unampa dozi mkeo?! Nyumba yenu haina ceiling?!

Teheeee mkuu kuna wengine hata ceiling haisaidii, anapiga kelele kama kaumwa na nyoka. Chezea shughuli wewe lol ngoma zingine nzito. Mtoa mada hapa sizumzii wewe na mai waifu...
 
Teheeee mkuu kuna wengine hata ceiling haisaidii, anapiga kelele kama kaumwa na nyoka. Chezea shughuli wewe lol ngoma zingine nzito. Mtoa mada hapa sizumzii wewe na mai waifu...

Hahahaaa. Mkuu lakini kelele zingine wizi tu..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…