Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Inawezekana kuwa ni mawazo ya walimu,ingawa pia watu siku hizi wanalishwa ujumbe.Nasikitika Mpwayungu Village yuko kwenye kifungo cha kudumu
πππ π π πππππππππWAMEJAZANA UWANJANI MASKINI HALAFU MC HATA HASOMI MABANGO YAO ANAJIROPOKEA YA KICHWANI MWAKE.
WALIMU NI WAJINGA AISEE
Mi nilikuwa napata sup bar fulani hapa mtaani, mhudumu alikuwa amefungu tbc. Niliposhuhudia yale masifa, ghafla nilitapika. Sup yangu yote imetoka. Ndio nimeondoka hapo kama dk 20 hivi zilizopita.Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda...
Pole mi Wala sifuatilii Huo utumboIna maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda...
Ikiwa walimu ni wajinga Hao wanafunzi watakuwa vipi ?WAMEJAZANA UWANJANI MASKINI HALAFU MC HATA HASOMI MABANGO YAO ANAJIROPOKEA YA KICHWANI MWAKE.
WALIMU NI WAJINGA AISEE
My wii alifanya nini?Nasikitika Mpwayungu Village yuko kwenye kifungo cha kudumu
Unataka walipwe sh ngapi ndio ujue kuwa walimu wanalipwa vizuri?Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda...
Ikiwa walimu ni wajinga Hao wanafunzi watakuwa vipi ?
wapumbavu pia
Wakurugenzi huwa wanatuma sms kutishia Mwalimu asiyehudhuria( tukio ambalo yupo mkuu) hatua kali zitachukuliwa..utasikia tutaandika majina ya wote waliohudhuria( utadhani watoto).Inawezekana kuwa ni mawazo ya walimu,ingawa pia watu siku hizi wanalishwa ujumbe.
Na zaidi kundi la walimu lilivyo na shida ukiondoa heshima tu kwa rais nafikiri hawangeshiriki kabisa.