spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
We una mimba aisee usisingizie sii dabliu T
Mi nilikuwa napata sup bar fulani hapa mtaani, mhudumu alikuwa amefungu tbc. Niliposhuhudia yale masifa, ghafla nilitapika. Sup yangu yote imetoka. Ndio nimeondoka hapo kama dk 20 hivi zilizopita.