spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Mi nilikuwa napata sup bar fulani hapa mtaani, mhudumu alikuwa amefungu tbc. Niliposhuhudia yale masifa, ghafla nilitapika. Sup yangu yote imetoka. Ndio nimeondoka hapo kama dk 20 hivi zilizopita.
Akikujibu nitagIkiwa walimu ni wajinga Hao wanafunzi watakuwa vipi ?
Je ambaye Hana hata hivyo ajiraWalimu Tuna Hali Ngumu X 3
Tutazua Kitimtim X 3
By Wagosi Wa Kaya
Najua hapa kwenye kutapika sup umeongezea tu kukolezea comment yako..ila ni kweli kwa mtu ambae hajui kuwa kulikuwa na tukio gani, angemsikiliza yule mc( chawa mkubwa) angejua ni mkutano wa kampeni anamnadi mgombeaMi nilikuwa napata sup bar fulani hapa mtaani, mhudumu alikuwa amefungu tbc. Niliposhuhudia yale masifa, ghafla nilitapika. Sup yangu yote imetoka. Ndio nimeondoka hapo kama dk 20 hivi zilizopita.
Walilalamika kwako?[emoji848][emoji848]Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda.
Eti tayari wameshampitisha Samia 2025.
This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
Teh teh 😂😂 ataibuka tu kivingine.Nasikitika Mpwayungu Village yuko kwenye kifungo cha kudumu
Nimesikitika umechelewa kujua kuwa Walimu ( hasa wa Shule za Msingi ) wa Tanzania ndiyo Kubwa la Watu wanaoongoza kwa Upumbavu na Unafiki nchini.Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda.
Eti tayari wameshampitisha Samia 2025.
This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
Mjinga mama yako! Tusitafutiane ban we boya. 😡WAMEJAZANA UWANJANI MASKINI HALAFU MC HATA HASOMI MABANGO YAO ANAJIROPOKEA YA KICHWANI MWAKE.
WALIMU NI WAJINGA AISEE
🤣🤣🤣🤣Kaka kunywa maji! reluxMjinga mama yako! Tusitafutiane ban we boya. 😡
Hayo ni maoni ya waalimu.we inakuuma nn?mpitishe na ww mgombea wako. We kwa akili zako matope unahisi Samia akiamua kugombea 2025 utamshinda?kaa kwa kutulia sukuma gang nyie.zama zenu ziliisha.Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda.
Eti tayari wameshampitisha Samia 2025.
This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
Mpwayungu kaacha wapumbavu wengi humu ..Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda.
Eti tayari wameshampitisha Samia 2025.
This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu