Waache wampigie debe kwani 2025 imeshafika? Je utakuwepo au unajuwa nani atakuwa Rais 2025 jamani embu tupambane na mambo mengine.Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda.
Eti tayari wameshampitisha Samia 2025.
This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
Huo nao ni sehemu ya ujinga ulio nao , hizo akili ulizo nazo kama ndio hizi basi we kweli ulifahuhulu kwa akili zako yaani ni sawa na aliye sema mama ungechelewa ningekuzaa!MIMI NILIFAULU KWA AKILI ZANGU MWALIMU HAJACHANGIA CCHTE
dhiki waalimu wametatuliwa kero zao nyingiIna maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda.
Eti tayari wameshampitisha Samia 2025.
This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
Inferiority complex ndo inayomtesa.Anafikiri diploma aliyoenda na failure yake ya 6, hao walimu hawakuwa na Vigezo vya kuusoma!! Kafeli 6 sasa kajipanga kuwasimamga waliomzidi ufaulu
Mpwayungu Village ni shujaa badoIna maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda.
Eti tayari wameshampitisha Samia 2025.
This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
Yaani Waalimu na Chama Chao Wamegeuka Machawa. Eti unasifia kupewa Kishikwambi anachochezea Mjukuu Wangu wa Miaka 3. Wangepewa Desktop nazani wangesema wasilipwe Mishahara Kwa Mwaka mzima. Wanashindwa kuja na hoja ya Kupinga Kikokotoo watacholipwa wanapostaafu. Wanashukuru Vishikwambi😝😝🙆🙆🙆 wasubiri ni Pensheni ya Milion 38 huku wana Madeni ndio Wataona Raha ya kuwa Chawa na kumiliki Kishikwambi.Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda.
Eti tayari wameshampitisha Samia 2025.
This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
Mi nilikuwa napata sup bar fulani hapa mtaani, mhudumu alikuwa amefungu tbc. Niliposhuhudia yale masifa, ghafla nilitapika. Sup yangu yote imetoka. Ndio nimeondoka hapo kama dk 20 hivi zilizopit
Siyo Kwa Uchawa ule WA CWT wa Leo. Kama vile Wote Wanamiliki Vila na kuendesha Maprado. Yaani Mwalimu anaishi Kwa support Mishahara Kwa kuuzia Wanafunzi BG eti wanasikia Tablet.Wewe km haupo ktk ajira za serikali huwezi kujua kwa nini hao Walimu wanapiga makofi kwa kishindo. Jua tu kuwa ukiwa mfanyakazi wa umma ni sawa na mke alieolewa. Yani huna sauti na utaongozwa kadri ya matakwa ya anaekulisha. Huna uhuru binafsi wa kutosha. Hata ukitaka kutoka sehemu Yako ya kazi kwenda kwenu lazima uombe ruhusa na nauli anaekupa ugali na kumuuaga pia. Hapo vipi umeolewa au hujaolewa. 😃😃😃😃😃😃Ngoja nisiendelee, mwenye kujua atakuwa amejua.
Pole sana.Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda.
Eti tayari wameshampitisha Samia 2025.
This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
Wivu ndugu yake roho ya kwanini...Sawa babaake kishikwambi.
Ban ya maisha???Nasikitika Mpwayungu Village yuko kwenye kifungo cha kudumu
Mpwayungu si ndio yule analilia awe mwanamke!?Nasikitika Mpwayungu Village yuko kwenye kifungo cha kudumu