Mmekazana na Walimu utadhani hii nchi kada nyingine zote zinajua kudai. Hivi juzi CAG ameibua ufisadi mkubwa uliofanywa na 'wakubwa' ndani ya Police Tanzania juu ya fedha za maafa wanazochangia mapoti, umeona kuna pot kasimamia kucha jambo hilo? Ingekuwa hizi hela ni za Walimu msingewatukana Walimu kweli?
By the way, kada nyingi tu hapa nchini mambo hayako OK. Hata kule jeshini kuna unyanyasaji wa maslahi, sema nidhamu ya kijeshi inawafanya wajeda wa-mute tu kisabuni, ila hayo hamuyaongelei.
Vipi Vyama vya Siasa vilivyonyimwa haki enzi za JPM vilifanya nini? Na wewe unaweza kufanya nini? au ndo kujitia ushujaa usionao? Umewahi kuingia barabarani lini kudai haki yako?