Nimefedheheka sana na kuamua kuzima Runinga. Yaani walimu wanatumika kisiasa kumpigia kampeni Rais Samia 2025! Huku wamejaa dhiki

Mama kawaahidi kuirudisha annual increment ambayo lile shetani la Chato liliifuta.
So wanahofu isije ikatokea kututawala tena jitu la aina ile
 
Nimesikitika umechelewa kujua kuwa Walimu ( hasa wa Shule za Msingi ) wa Tanzania ndiyo Kubwa la Watu wanaoongoza kwa Upumbavu na Unafiki nchini.
Lkn pia ndo mtaji wa CCM miaka yote, ht Jiwe aliwatumia hao
 
WAMEJAZANA UWANJANI MASKINI HALAFU MC HATA HASOMI MABANGO YAO ANAJIROPOKEA YA KICHWANI MWAKE.

WALIMU NI WAJINGA AISEE
Kwa ujinga wao Waka kuambukiza ujuz ukajua kusoma na kuandika
 
niliishasema walimu wengi ni mbulula na ndo maana wanaburuzwa kama chapati.hata mm kitendo kile kiliniudhi sana sikuamini kuona lile bango la walimu lenye kauli mbiu kama ile.
 

Viongozi wao wanahongwa u DC
 
😂😂😂😂😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nikipata jibu la swali hili nitaelezea kuhusu waalimu.
Kwanini waalimu wanachukuliwa wale waliofeli na vyuo vyao wanasoma na sare?
 
Kundi la walimu limejaa watu wajinga sn
 
Hivi usimpigie kampani anaye walipa mshahara
 
This is a best comment.![emoji817][emoji817]
 
Katika watumishi wa serikali kundi lisilojitambua ni walimu, hata ukiwambia twende kudai mshahara mkubwa anaweza kukukwambia mshahara alionao unamtosha.
Kundi gani la watumishi lilijitokeza mbele na kudai nyongeza ya mshahara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…