Nimefedheheka sana na kuamua kuzima Runinga. Yaani walimu wanatumika kisiasa kumpigia kampeni Rais Samia 2025! Huku wamejaa dhiki

Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda.

Eti tayari wameshampitisha Samia 2025.

This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
Mama kawaahidi kuirudisha annual increment ambayo lile shetani la Chato liliifuta.
So wanahofu isije ikatokea kututawala tena jitu la aina ile
 
Nimesikitika umechelewa kujua kuwa Walimu ( hasa wa Shule za Msingi ) wa Tanzania ndiyo Kubwa la Watu wanaoongoza kwa Upumbavu na Unafiki nchini.
Lkn pia ndo mtaji wa CCM miaka yote, ht Jiwe aliwatumia hao
 
WAMEJAZANA UWANJANI MASKINI HALAFU MC HATA HASOMI MABANGO YAO ANAJIROPOKEA YA KICHWANI MWAKE.

WALIMU NI WAJINGA AISEE
Kwa ujinga wao Waka kuambukiza ujuz ukajua kusoma na kuandika
 
Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda.

Eti tayari wameshampitisha Samia 2025.

This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
niliishasema walimu wengi ni mbulula na ndo maana wanaburuzwa kama chapati.hata mm kitendo kile kiliniudhi sana sikuamini kuona lile bango la walimu lenye kauli mbiu kama ile.
 
Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda.

Eti tayari wameshampitisha Samia 2025.

This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu

Viongozi wao wanahongwa u DC
 
😂😂😂😂😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nikipata jibu la swali hili nitaelezea kuhusu waalimu.
Kwanini waalimu wanachukuliwa wale waliofeli na vyuo vyao wanasoma na sare?
 
Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda.

Eti tayari wameshampitisha Samia 2025.

This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
Kundi la walimu limejaa watu wajinga sn
 
Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda.

Eti tayari wameshampitisha Samia 2025.

This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
Hivi usimpigie kampani anaye walipa mshahara
 
Naamini kuna kazi unayo fanya na inaakuingizia kipato chako halali hata sisi pia tunafanya kazi hii ya ualimu na tunalipwa hiki kiasi unacho kiita kidogo, pamoja na udogo wa kiasi hiki tunaendesha maisha vizuri tuna familia zinatutegemea, tunasomesha watoto na tunasaidia ndugu zetu .
Kama Mungu amekujalia kupata kazi inayo lipa fedha nyingi kudhihaki na kudhalau kazi ya mwenzio itakufanya uonekane kama mtu asiye kua na hekima
Mara nyingi nimeshuhudia watu wanao wadhalau walimu wengi wao huwa hawana hata kazi ya kufanya na wengine wamethubutu hata kuwatapeli walimu hasa wadada wanao hitaji ndoa
Please tuache na shughuli yetu inayo tuingizia kipato halali fanya kazi yako inayo kuingizia mabilioni sisi tunaridhika na hii fedha ambayo wewe unaita kidogo
This is a best comment.![emoji817][emoji817]
 
Katika watumishi wa serikali kundi lisilojitambua ni walimu, hata ukiwambia twende kudai mshahara mkubwa anaweza kukukwambia mshahara alionao unamtosha.
Kundi gani la watumishi lilijitokeza mbele na kudai nyongeza ya mshahara.
 
Back
Top Bottom