Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Kuna kazi mtaani nyingi za kupata hiyo helaHana ujuzi ameshakuambia
Kuna kazi mtaani nyingi za kupata hiyo helaHana ujuzi ameshakuambia
DuuuuhNajua unacho tamani kusikia, Kwa hakika Ndiyo nimeanza nikiwa na umri mdogo sana kupitia ofisi ya nyumbani. Ilikua ukitoka shule kile kipindi Cha rikizo baada ya tuition jioni unaenda dukanii kuhudumia wateja. Asubuhi unaamkia tuition ukitoka tuition dukanii, jioni tuition baada ya tuition dukani.
Baada ya form four nimekasimama kama misimamizi mkuu mle dukani Kwa bahati mbaya Mzee alikua mchimbaji dhahabu yakatokea ya kutokea akaingia kwenye hasara kubwa akafilisika hakutaman tena kuendelea na vyote akaenda zake kuanza upya kwenye uvuvi
AiseeeNashukuru sana biashara wakati mwingine tumeanza na chini ya umri huo, nikiwa na miaka 7 nilikua naenda kukata fagio nafunga naenda kuuza mjini, nanunua niwa s 50 naenda mjini kuuza natoa 150.
Kwa miaka 13 nilikua tayari nauwezo wa kukaa dukani kisaidia kazi za kuhudumia ingawa Kwa uchache kutokana na majukumu ya shule.
Nakushukuru
Kuna kazi mtaani nyingi za kupata hiyo hela
Huo ni uongoMimi mwenyewe jobless tu nimetoka kumaliza chuo mwaka huu nipo mtaani nashindwa Jf tu huku nikisikilizia michongo yangu itiki In Shaa Allaah .
Ningekuwa na mchongo sina mbambamba mapema tu ningesaidia kwa namna yeyote ile kwani napenda kusaidia watu ila nipo mtaani nasubiri mchongo niliowekeza utiki nianze maisha ya utafurahi In Shaa Allaah
Upo Dar au mkoa gani?Hapana boss ina kipengele kwenye harakati hizo nilijikuta nakopa. Namba hii ni+255 688436273 majina yote ni sawa Valles Michael mangole.
Na ndio maana ya vamigo. Nashukuru sana
Inawezekan mkuu mimi nilianza nikiwa bado sijazaliwa kabsaInawezekana kabisa , mimi nilianza na miaka miwili😃
Kuna saidia fundi mbonaKama kazi zipi?
Ambayo atapata hiyo 15k angalau ndani ya mwezi awe na 200k kwa pamoja
duh kumbe unachagua kazi...? wewe huna shida bali unataka kutumia huruma ya watu mitandaoni ili ujipatie pesa. Hivi kwenye mji kuna sehemu rahisi ya kupata pesa kwa watu wa hali ya chini kama masokoni? Unajua mzunguko wa pesa uliopo masokoni kweli?Duh ushauri mwiiiingi wa kuhusu riba kumbe destin yake ilikua niende sokoni nitapata cha kufanya. Any way sawa sokoni pale siwezi kwenda maana nataka sehemu nitakayo pata uhakika wa kupata hata ya hela ya mboga
Alichoandika ndicho kinatakiwa kupatiwa majibu au suluhisho.Tatizo mnasoma kilicho andikwa ili mpate Cha kujibu na sio kuelewa...
Okay nashukuru Kwa manoni yako naomba connection ya kazi sasa
Mkuu Kwa current situation mm Sina pesa Wala chochote wakati huu nina majukumu ya kifamilia. Oky achana na gharama za ununuzi wa shamba, achana na gharama za ununuzi wa mifugo . Nikuuliza mfano ndo nimepata pesa ya kununua shamba na mazao nikaingia shamba Leo, unanihakikishia kesho nitapata sh 5k shambani ya kulisha familia.?Alichoandika ndicho kinatakiwa kupatiwa majibu au suluhisho.
Mkuu; usiombe connection ya kazi - utasubiri sana. Jikonekti mwenyewe kwenye kilimo/ufugaji au biashara. Unakwama wapi kununua na kuuza? Unashindwaje kuzitumia nguvu zako ambazo ndo mtaji wako? Tatizo lenu mnataka aje mtu akuambie keti hapa halafu mwisho wa mwezi akulipe.
Asante mkuu.. I'm working on itKama kweli unahitaji kujikwamua ,uza hiyo simu kisha chukua hiyo laki 2 nenda hata ziwani kanunue samaki kutoka kwa wavuvi kisha uuzie watu.
Kuombaomba ni fedheha kwa mwanamume. Ila kama unataka kazi nyepesi ambazo hutoki jasho sana na unapata pesa nyingi...endelea kusubiri
Si kwamba nabagua KAZI bro, sokoni unaenda una mface nani.? Kama alimaanisha kubeba zile gunia za mahindi begani hizo siwezi mkuu niwe mkweli tu. Ila kama alimaanisha vinginevyo basi anieleze nikifika sokoni nafanyaje fanyaje kupata kazi au biashara.duh kumbe unachagua kazi...? wewe huna shida bali unataka kutumia huruma ya watu mitandaoni ili ujipatie pesa. Hivi kwenye mji kuna sehemu rahisi ya kupata pesa kwa watu wa hali ya chini kama masokoni? Unajua mzunguko wa pesa uliopo masokoni k
Alichoandika ndicho kinatakiwa kupatiwa majibu au suluhisho.
Mkuu; usiombe connection ya kazi - utasubiri sana. Jikonekti mwenyewe kwenye kilimo/ufugaji au biashara. Unakwama wapi kununua na kuuza? Unashindwaje kuzitumia nguvu zako ambazo ndo mtaji wako? Tatizo lenu mnataka aje mtu akuambie keti hapa halafu mwisho wa mwezi akulipe.
weli
Saidia fundi ndo nimetoka kuipiga hapo nilipo andika kidogo nivunje mguu,, ilikua nje ya geita mjini tuliweka kambi baada ya msingi kuisha saidia fundi tukawa wengi Kila fundi akabaki na saidia fundi wake mm nikakosa nikarudi town, nikamcheki mwanangu mmoja ambae ananicheka kwenda kwenye KAZI niwe saidia fundi waKe.Kuna kazi mtaani nyingi za kupata hiyo hela
Hapana Nisha ongea na mtu nadhani naingiako hivi karibuniMkuu kwa hali uliyofikia achana na mambo ya Family tie, unahisi siku ukifa mkeo na mwanao hawataishi?
Nenda kapambanie kombe Popote ningekua wewe ningeanza na hiyo kazi ya kiroba 2000 kwa Week moja au mbili tu au upo tayari kuona Familia inakufa njaa mbele yako?