Nimefika mwisho wa kufikiri.... Nifanyeje? Naomba msaada wako

Nimefika mwisho wa kufikiri.... Nifanyeje? Naomba msaada wako

Achana na hio biashara ya Mpesa kwanza jaribu biashara zingine.

Ukirudi huko kwenye Mpesa utakutana na Yaleyale. Cycle itakuwa ni Ile Ile

Matatizo Yaleyale,mtu yule yule,
Ni kweli kaka Mungu ni mwema nitapata tu sehemu nyingine sahihi
 
Ifugandi jirani na busolwa
Nimeishi sana maeneo hayo anyway all the best hizi changamoto tunapitia wengi
 
Pole sana ndugu, usijali juu ya ugumu ila angalia unachojifunza ndani ya ugumu huo. Ni zaidi ya elimu unapata boss
 
Si kwamba nabagua KAZI bro, sokoni unaenda una mface nani.? Kama alimaanisha kubeba zile gunia za mahindi begani hizo siwezi mkuu niwe mkweli tu. Ila kama alimaanisha vinginevyo basi anieleze nikifika sokoni nafanyaje fanyaje kupata kazi au biashara.
kwahiyo kila mtu humu unadhani kuwa alishikwa mkono?? Wewe kama umedhamiria kupiga mishe fika maeneo hayo watu wa kukushika mkono utakutana nao hapo. Mwanaume unapofika sehemu za utafutaji unachangamka unasalimia uliowakuta unaeleza shida zako na hapo ndio watakupa michongo na wewe utachuja upi unakufaa uanze nao.

Watu tumefika hadi migodini tukiwa hatuna pesa wala ndugu au rafiki hata mmoja ila tumekomaa na kujuana na watu na maisha yakanyooka....WEWE KAA NA UOGA WAKO USUBIRI WANAZENGO WAKUTUMIE SH 10000,5000 ili urudi tena kwenye masuala yako ya riba.
 
Back
Top Bottom