Nimefika mwisho wa kufikiri.... Nifanyeje? Naomba msaada wako

Nimefika mwisho wa kufikiri.... Nifanyeje? Naomba msaada wako

pole sana bro i feel u, hauna rafk yak ambaye yuko chaka kpnd hch cha mavuno ukakusanye mtaj huko.
Hapana mkuu bahati mbaya nina circle ndogo ya marafiki. Ambaye yupo vizuri ni yule bro alie niitia nikamsaidie kazi kule pori. Yeye naye ana vipengele vyake Bado hajasimama anajitafuta.
 
Ingawa kabla ya kuchukua maamuzi haya niliwaza nina Facebook page ambayo Iko monitized ambapo nilipewa mwaliko mwezi ulio isha nina dollar 1.47 tu maana Sina muda wa kupost na Sina pesa je nikiuza simu si wataniondoa kwenye orodha ya watu wanao lipwa.?
Nimecheka na nimeishia kusoma hapa 😂

Ety dollar 1.47 😂
Pesa za kudownload au sio 😂

Wewe umejichanganya sehemu nyingi tuu, sio kwenye biashara tuu.
 
Mkuu kumbe tunaweza enda Msasa kukununua "mbulaja" kwa manyani.
Niko mtaa wa Mseto hapa Nkola ya chini.
Kama we mwenyeji hapo basi utakua familia sana, Kuna mwl mmoja alikua anaitwa mwl magesa mkewake anafanya KAZI mahakamani unampata.? Naomba nikuchek PM
 
nenda kwenye soko kubwa la mji wenu hapo huwezi kosa mishe ya kufanya
Duh ushauri mwiiiingi wa kuhusu riba kumbe destin yake ilikua niende sokoni nitapata cha kufanya. Any way sawa sokoni pale siwezi kwenda maana nataka sehemu nitakayo pata uhakika wa kupata hata ya hela ya mboga
 
Back
Top Bottom