Aise ungekuwa Dar angalau,hila pole sanaGEITA MJINI.
Mpesa umeanza na 13 yrs.Mwenzenu ni kijana miaka 28 mwenye mke na mtoto mmoja... Nimekua nikifanya biashara ya mpesa Kwa miaka takribani 15 tangu nikiwa nyumbani hata baada ya kutoka nyumbani niliendelea kufanya biashara hiyo.
Kama mjuavyo biashara hiyo ni miongoni mwa biashara zinazo windwa mwaka 2021 baada ya kufanyiwa majaribio ya kuibiwa mala kadhaa nilighafilka na kuamua kuondoka kwenda kutafuta changamoto kwingine pale ofisini nikamuacha mama. Kwa bahati mbaya sikufanikiwa mwaka 2022 mwishoni nikarejea tena pale pale site.
Mwaka 2023 nikafanikwa kupata mtoto wangu wa kwanza, MUNGU alikua mwema biashara ilishamiri Kwa mwaka huo tangu 2022-2024 mwezi wa 4 nilikua nimefunga milion 7 kutoka kwenye milion 1 ya mtaji.
Mwaka 2024 niliongeza huduma za kibank Kwa NMB hapo ndipo mambo yalianza kwenda mrama, biashara ikaanza kuyumba, wateja wakaanza kupungua bila sababu yoyote na hatimaye nikashindwa kulipa Kodi tena Kwa kukosa mtaji. Nikaishiwa.
Nikatengeneza Banda la mabati yaliyo tumika nikiwa na mtaji wa 200k nikaanza biashara hiyo eneo jingine mtaa wa pili nikauza mashine yangu ya NMB Kwa dada yangu nikapata mtaji nikauchoma tena ukaisha. Unajua kwanini uliisha.?
Huko nyuma nilianzisha biashara ya kukopesha bila vibali nililenga watu wachache wa eneo Hilo Hilo ndio sababu ya kutengeneza milion 6 Kwa mwaka mmoja pekee. Hata nilivo pata pesa ya mauzo ya mashine ya NMB nilidhani kwamba napaswa kukopesha tena ili ninyanyuke, awamu hii nikakopesha kienyeji zaidi ya uenyeji wenyewe, Kwa kua na ki mtaji kilikua kidogo jamaa mmoja kakimbia na 300k mwingine wakaanza kusumbua nikapata hasara nikaishiwa.
Just imagine biashara nikawa naiendeshea Kwa mtaji wa 200k humo humo ulipe Kodi, chakula uhudumie mtoto mke na Mimi mwenyewe ikafika pahala nikafeli, sehemu nilio kua nimeweka Banda niliomba na mwenye Banda kanipa kama msaada ila Sasa anapataka kanambia nitoe Banda langu anapahitaji Leo week ya 2 Sina hela ya kuhamishia hata Banda. Nahisi Nisha mkwaza ila Sasa nitafanyaje..?
HApo nyuma nilipata bahati ya ki KAZI Cha wiki 2 nikaokoa 150k ila bro alie niitia hiyo KAZI anafahamu nacho pitia hivyo aliamua kunipa tu kazi hiyo ili nipate chochote kitu. Ilikua kazi ya usimamizi machimboni "ifugandi" KAZI ile niliifanya Kwa uaminifu na Kwa bidii kubwa hatimaye nikaimaliza.
Nimerudi home hela ikakata Kwakua tayari nina familia 150k si kitu Kwa familia inayo pitia ukata.. nikaomba KAZI ya saidia fundi tukaipiga Kwa siku 3 msingi, KAZI ilikua ngumu nusu nivunjike mguu maana jiwe la msingi lilinizidia nguvu wakati tumelibeba kwenye machera likaporomoka na kugonga miguu wangu kwakweli lilikua ni jabari la jiwe. Mungu mwema aliniokoa Kwa mapenzi yake. Nilichubuka Mikono nikatokwa na vidonda mikononi Kwa siku tatu nikachoka Chaka Chaka.
Kwanza niliwaza au pengine mm ni mzembe na mvivu je ningekua jeshini ningefangaje .? Mawazo yale niliyatumia kujitia moyo wakati ambao natarajia kubeba niwe, rahasha kumbe nilikua miongoni mwa watu walio jitahidi ujezi wa msingi wa mawe hua si Lele mama mafundi na vibarua wengi ealiukataa.
Wiki Moja Sasa nipo nyumbani Sina hata sh 100, katika wiki Moja hii jirani yangu ambae familia zetu Zina ukaribu ni fundi, na nifundi haswaa nimemuomba KAZI bila mafanikio si kwamba Hana KAZI anazo ila ikifika asubuhi ananichenga anaondoka bila taarifa. Hii awamu ya 3 Sasa. Sishangai Kwakua niliwah msikia live akimwambia mkewe kua hawezi kwenda na Mimi kazini kujenga Kwakua tutakosana hua najiuliza Kwanini tukosane. Ingawa jamaa ana mapungufu mengi maana ni wale jamaa waongea matusi sana pengine anajijua alivyo ndio maana kaona kuliko tukosane Bora tujenge heshima Kwa kutonipa KAZI. Lakini si anajua kua Sina maisha why asinipe kunisaidia.?
Any way nimepata wazo na nimeanza kulifanyia kazi: simu ninayo tumia Sasa ni infinix hot 40i nimeamua kuiuza Kwa sh 180k nipate mtaji nirudi kwenye biashara. Tayari nimetangaza kwenye groups akitokea mtu wa kuinunua basi nitatoka nje ya mitandao ya kijamii asipo tokea nitakua naingia humu na tutaendelea kuwemo.
Ingawa kabla ya kuchukua maamuzi haya niliwaza nina Facebook page ambayo Iko monitized ambapo nilipewa mwaliko mwezi ulio isha nina dollar 1.47 tu maana Sina muda wa kupost na Sina pesa je nikiuza simu si wataniondoa kwenye orodha ya watu wanao lipwa.?
Kwenye pita pita Facebook nimejiunga magroup mengi ya kitalii ambapo niliwaza kama ningekua nime settle nina utulivu ningepata muda mzuri wa kujifunza mengi kuhusu utalii na Kwakua nina page ambayo maudhuhi yake niya Mpira ila nina page nyingine ninayo post mambo ya vivutio vya Tanznaia kwakweli inamuitikio si ninge kua mshauri na pengine nyota ingewakia huko.?
Kiukweli nimeomba kazi kwenye taasisi nyingi karibu 7 changamoto ni fani, najilaumu sana kwamba nilibweteka Kwakua ofisi yangu huko nyuma iliniaminisha kwamba inaweza kinivusha kutokana na ubusy wa kuihudumia nikaisahau. Sasa ni baba mwenye mke na mtoto ndio natambua umuhumu WA kuwa na fani mjini.
Lakini KAZI skua naomba zenye fani, nimeomba kazi yoyote ofisini office assistant, kazi yoyote ambayo mm naweza kuifanya bila kua na fani yoyote. / kama Kuna mtu anaweza jitolea kuokoa jahazi mm ni MWEPESI kujifunza naweza kufanya KAZI huku najifunza tafadhali niokoe.
Nimeomba kazi hizo kwenye makampuni ya cargo na logistics, kampuni za uuzaji magari n.k sijaitwa, nimeomba vibarua mgodini sjaitwa. Nasubiri neema ifunguke nahisi nimefika hatua ya mwisho ya kufikili. Natamani nitoke nikapambane nje ya circle yangu lakini nina home tie tayari natamani nipate sehemu ya uhakika kwamba nikitoka niwe na uhakika kwamba naweza kuwalisha wanangu angalau Kwa hatakwa uchache hapo ndipo najikosoa kwamba natoka naenda wap, kufanya Nini nafikia Kwa nani je wiki ya kwanza,2,34 mwezi nitakua Nisha pata Cha kulisha walio nyumbani.?
Wakati huo unaweza hayo unakutana mitandaoni mwijaku kazawadiwa gari ya milion 80, nawaza dah hawa watu si niliwah watumia email ya kuomba kazi ya kibarua chochote katika ofisi zao, na nikatoka ofa ya kuwa advertise kwenye ki page changu Kila napo post lakini wapi.!
Any way, sinaga huruka ya uongeaji saana nadhani nimetoa ya Moyoni Kwa uchache wake.... Ndugu zangu naombeni kazi, naombeni kazi, Kuna muda mwanangu anachemka naishia kumpa Panadol tu Kwakua najua nikienda maabara au hospital ingeweza kuchukua 10+ ambayo ni bajeti yangu ya kula Kwa siku 4 nachangua kumpa Panadol walau awe na uhakika wa chakula,ingawa afya ni muhimu... Hayo maumivu kama baba unajisikiaje kushindwa kumtibu mwanao.?
Ndugu zangu naombeni kazi, connection yoyote au hata msaada wowote.
Ingawa niliwaza kua niuze siku nitakua na sh 150k kama atatokea WA kununua Kwa Bei hiyo. Nikope 200k niwe na 350k nitumie 60k kuhamisha Banda na kulipia Kodi kwingine nibaki na angalau 250k nianze huduma ya mpesa. Ama ninunue computa used nianze kubun series huku najifunza ujuzi mwingine kupitia kompyuta hiyo.
Angalia namna unavyo weza kunisadia Mungu akuguse nakukaribisha PM,
Naelewa si vyema kuanika mawasiliano yangu hadharani Lakini mm Sasa ni nani kwenye dunia hii.?
unaweza kunipigia namba 0744666115..
Umenikumbusha na hii andiko langu dah mwaka wa pili Sasa sjasimama.Kama unaishi Geita haupaswi kulalamika hauna kazi.
Toka mjini nenda vijijini huko kuna vijikazi kibaaao.
Hiko kibiashara cha mpesa hakiwezi lisha familia mkuu.
View attachment 3625553
Hahah!! nitagawa hela Selfika , na nahitaji machawa kama wa 5 hapa Jf wakunisapoti .Kwahiyo soon utaanza kututambia mshahara wa madollar
Toka hayo mazingira mkuuUmenikumbusha na hii andiko langu dah mwaka wa pili Sasa sjasimama.
Kwa mtu mwenye mashaka nami anaweza ona hii picha akasoma niliko toka na nilipo.
Nimemjibu hili swali kaka.Mpesa umeanza na 13 yrs.
Hapo sawa! Akiweza asubuhi auze na vitafunwaJobless, ana fani ya ushonaji, ingawa Kwa Sasa anatengeneza vi bites anauzia watoto wa hapa mtaani.
Amesema alianza kuuza fagio za Chelewa akiwa na miaka 7 ana experience ya kutosha.Nasubiri ujibiwe
KABLA YA YOTE UNATAKIWA KUTUBU KWA MUNGU kwasababu ya kujihusisha na KULA RIBA.Mwenzenu ni kijana miaka 28 mwenye mke na mtoto mmoja... Nimekua nikifanya biashara ya mpesa Kwa miaka takribani 15 tangu nikiwa nyumbani hata baada ya kutoka nyumbani niliendelea kufanya biashara hiyo.
Kama mjuavyo biashara hiyo ni miongoni mwa biashara zinazo windwa mwaka 2021 baada ya kufanyiwa majaribio ya kuibiwa mala kadhaa nilighafilka na kuamua kuondoka kwenda kutafuta changamoto kwingine pale ofisini nikamuacha mama. Kwa bahati mbaya sikufanikiwa mwaka 2022 mwishoni nikarejea tena pale pale site.
Mwaka 2023 nikafanikwa kupata mtoto wangu wa kwanza, MUNGU alikua mwema biashara ilishamiri Kwa mwaka huo tangu 2022-2024 mwezi wa 4 nilikua nimefunga milion 7 kutoka kwenye milion 1 ya mtaji.
Mwaka 2024 niliongeza huduma za kibank Kwa NMB hapo ndipo mambo yalianza kwenda mrama, biashara ikaanza kuyumba, wateja wakaanza kupungua bila sababu yoyote na hatimaye nikashindwa kulipa Kodi tena Kwa kukosa mtaji. Nikaishiwa.
Nikatengeneza Banda la mabati yaliyo tumika nikiwa na mtaji wa 200k nikaanza biashara hiyo eneo jingine mtaa wa pili nikauza mashine yangu ya NMB Kwa dada yangu nikapata mtaji nikauchoma tena ukaisha. Unajua kwanini uliisha.?
Huko nyuma nilianzisha biashara ya kukopesha bila vibali nililenga watu wachache wa eneo Hilo Hilo ndio sababu ya kutengeneza milion 6 Kwa mwaka mmoja pekee. Hata nilivo pata pesa ya mauzo ya mashine ya NMB nilidhani kwamba napaswa kukopesha tena ili ninyanyuke, awamu hii nikakopesha kienyeji zaidi ya uenyeji wenyewe, Kwa kua na ki mtaji kilikua kidogo jamaa mmoja kakimbia na 300k mwingine wakaanza kusumbua nikapata hasara nikaishiwa.
Just imagine biashara nikawa naiendeshea Kwa mtaji wa 200k humo humo ulipe Kodi, chakula uhudumie mtoto mke na Mimi mwenyewe ikafika pahala nikafeli, sehemu nilio kua nimeweka Banda niliomba na mwenye Banda kanipa kama msaada ila Sasa anapataka kanambia nitoe Banda langu anapahitaji Leo week ya 2 Sina hela ya kuhamishia hata Banda. Nahisi Nisha mkwaza ila Sasa nitafanyaje..?
HApo nyuma nilipata bahati ya ki KAZI Cha wiki 2 nikaokoa 150k ila bro alie niitia hiyo KAZI anafahamu nacho pitia hivyo aliamua kunipa tu kazi hiyo ili nipate chochote kitu. Ilikua kazi ya usimamizi machimboni "ifugandi" KAZI ile niliifanya Kwa uaminifu na Kwa bidii kubwa hatimaye nikaimaliza.
Nimerudi home hela ikakata Kwakua tayari nina familia 150k si kitu Kwa familia inayo pitia ukata.. nikaomba KAZI ya saidia fundi tukaipiga Kwa siku 3 msingi, KAZI ilikua ngumu nusu nivunjike mguu maana jiwe la msingi lilinizidia nguvu wakati tumelibeba kwenye machera likaporomoka na kugonga miguu wangu kwakweli lilikua ni jabari la jiwe. Mungu mwema aliniokoa Kwa mapenzi yake. Nilichubuka Mikono nikatokwa na vidonda mikononi Kwa siku tatu nikachoka Chaka Chaka.
Kwanza niliwaza au pengine mm ni mzembe na mvivu je ningekua jeshini ningefangaje .? Mawazo yale niliyatumia kujitia moyo wakati ambao natarajia kubeba niwe, rahasha kumbe nilikua miongoni mwa watu walio jitahidi ujezi wa msingi wa mawe hua si Lele mama mafundi na vibarua wengi ealiukataa.
Wiki Moja Sasa nipo nyumbani Sina hata sh 100, katika wiki Moja hii jirani yangu ambae familia zetu Zina ukaribu ni fundi, na nifundi haswaa nimemuomba KAZI bila mafanikio si kwamba Hana KAZI anazo ila ikifika asubuhi ananichenga anaondoka bila taarifa. Hii awamu ya 3 Sasa. Sishangai Kwakua niliwah msikia live akimwambia mkewe kua hawezi kwenda na Mimi kazini kujenga Kwakua tutakosana hua najiuliza Kwanini tukosane. Ingawa jamaa ana mapungufu mengi maana ni wale jamaa waongea matusi sana pengine anajijua alivyo ndio maana kaona kuliko tukosane Bora tujenge heshima Kwa kutonipa KAZI. Lakini si anajua kua Sina maisha why asinipe kunisaidia.?
Any way nimepata wazo na nimeanza kulifanyia kazi: simu ninayo tumia Sasa ni infinix hot 40i nimeamua kuiuza Kwa sh 180k nipate mtaji nirudi kwenye biashara. Tayari nimetangaza kwenye groups akitokea mtu wa kuinunua basi nitatoka nje ya mitandao ya kijamii asipo tokea nitakua naingia humu na tutaendelea kuwemo.
Ingawa kabla ya kuchukua maamuzi haya niliwaza nina Facebook page ambayo Iko monitized ambapo nilipewa mwaliko mwezi ulio isha nina dollar 1.47 tu maana Sina muda wa kupost na Sina pesa je nikiuza simu si wataniondoa kwenye orodha ya watu wanao lipwa.?
Kwenye pita pita Facebook nimejiunga magroup mengi ya kitalii ambapo niliwaza kama ningekua nime settle nina utulivu ningepata muda mzuri wa kujifunza mengi kuhusu utalii na Kwakua nina page ambayo maudhuhi yake niya Mpira ila nina page nyingine ninayo post mambo ya vivutio vya Tanznaia kwakweli inamuitikio si ninge kua mshauri na pengine nyota ingewakia huko.?
Kiukweli nimeomba kazi kwenye taasisi nyingi karibu 7 changamoto ni fani, najilaumu sana kwamba nilibweteka Kwakua ofisi yangu huko nyuma iliniaminisha kwamba inaweza kinivusha kutokana na ubusy wa kuihudumia nikaisahau. Sasa ni baba mwenye mke na mtoto ndio natambua umuhumu WA kuwa na fani mjini.
Lakini KAZI skua naomba zenye fani, nimeomba kazi yoyote ofisini office assistant, kazi yoyote ambayo mm naweza kuifanya bila kua na fani yoyote. / kama Kuna mtu anaweza jitolea kuokoa jahazi mm ni MWEPESI kujifunza naweza kufanya KAZI huku najifunza tafadhali niokoe.
Nimeomba kazi hizo kwenye makampuni ya cargo na logistics, kampuni za uuzaji magari n.k sijaitwa, nimeomba vibarua mgodini sjaitwa. Nasubiri neema ifunguke nahisi nimefika hatua ya mwisho ya kufikili. Natamani nitoke nikapambane nje ya circle yangu lakini nina home tie tayari natamani nipate sehemu ya uhakika kwamba nikitoka niwe na uhakika kwamba naweza kuwalisha wanangu angalau Kwa hatakwa uchache hapo ndipo najikosoa kwamba natoka naenda wap, kufanya Nini nafikia Kwa nani je wiki ya kwanza,2,34 mwezi nitakua Nisha pata Cha kulisha walio nyumbani.?
Wakati huo unaweza hayo unakutana mitandaoni mwijaku kazawadiwa gari ya milion 80, nawaza dah hawa watu si niliwah watumia email ya kuomba kazi ya kibarua chochote katika ofisi zao, na nikatoka ofa ya kuwa advertise kwenye ki page changu Kila napo post lakini wapi.!
Any way, sinaga huruka ya uongeaji saana nadhani nimetoa ya Moyoni Kwa uchache wake.... Ndugu zangu naombeni kazi, naombeni kazi, Kuna muda mwanangu anachemka naishia kumpa Panadol tu Kwakua najua nikienda maabara au hospital ingeweza kuchukua 10+ ambayo ni bajeti yangu ya kula Kwa siku 4 nachangua kumpa Panadol walau awe na uhakika wa chakula,ingawa afya ni muhimu... Hayo maumivu kama baba unajisikiaje kushindwa kumtibu mwanao.?
Ndugu zangu naombeni kazi, connection yoyote au hata msaada wowote.
Ingawa niliwaza kua niuze siku nitakua na sh 150k kama atatokea WA kununua Kwa Bei hiyo. Nikope 200k niwe na 350k nitumie 60k kuhamisha Banda na kulipia Kodi kwingine nibaki na angalau 250k nianze huduma ya mpesa. Ama ninunue computa used nianze kubun series huku najifunza ujuzi mwingine kupitia kompyuta hiyo.
Angalia namna unavyo weza kunisadia Mungu akuguse nakukaribisha PM,
Naelewa si vyema kuanika mawasiliano yangu hadharani Lakini mm Sasa ni nani kwenye dunia hii.?
unaweza kunipigia namba 0744666115..
Walokole bhana!🤣 Mbona kukopa bank mnaenda?KABLA YA YOTE UNATAKIWA KUTUBU KWA MUNGU kwasababu ya kujihusisha na KULA RIBA.
RIBA NDIO SABABU KUBWA YA KUFELI WEWE KATIKA BIASHARA ZAKO
QURAN 2:275-276
"Wale walao riba hawasimami ila kama anavyo simama aliye zugwa na Shet'ani kwa kumgusa. Hayo ni kwa kuwa wamesema: Biashara ni kama riba. Lakini Mwenyezi Mungu ameihalalisha biashara na ameiharimisha riba. Basi aliye fikiwa na mawaidha kutoka kwa Mola wake Mlezi, kisha akajizuia, basi yake ni yaliyo kwisha pita, na mambo yake yako kwa Mwenyezi Mungu. Na wenye kurudia basi hao ndio watu wa Motoni, humo watadumu.
Mwenyezi Mungu huiondolea baraka riba, na huzibariki sadaka. Na Mwenyezi Mungu hampendi kila mwenye kukanya na afanyae dhambi."
Kama unaishi Geita haupaswi kulalamika hauna kazi.
Toka mjini nenda vijijini huko kuna vijikazi kibaaao.
Hiko kibiashara cha mpesa hakiwezi lisha familia mkuu.
View attachment 3625553
Toka hayo
Nina sababu nyingi zinazo ungana na wewe na nina tamani changamoto kwasasa nina home tie. Nikimaanisha nina watu wanao nifanya nisitoke Kwa haraka ama nitoke nikiwa na uhakika wa ninako kwenda. Kwasasa Sina hela Sina kaziToka hayo mazingira mkuu
kakope benki halafu kaanzishe biashara au pesa ya mkopo wa riba tia kwenye biashara uone moto wake utakavyokuwakiaWalokole bhana!🤣 Mbona kukopa bank mnaenda?
Hivi huwa mna akili timamu?
KABLA YA YOTE UNATAKIWA KUTUBU KWA MUNGU kwasababu ya kujihusisha na KULA RIBA.
RIBA NDIO SABABU KUBWA YA KUFELI WEWE KATIKA BIASHARA ZAKO
QURAN 2:275-276
"Wale walao riba hawasimami ila kama anavyo simama aliye zugwa na Shet'ani kwa kumgusa. Hayo ni kwa kuwa wamesema: Biashara ni kama riba. Lakini Mwenyezi Mungu ameihalalisha biashara na ameiharimisha riba. Basi aliye fikiwa na mawaidha kutoka kwa Mola wake Mlezi, kisha akajizuia, basi yake ni yaliyo kwisha pita, na mambo yake yako kwa Mwenyezi Mungu. Na wenye kurudia basi hao ndio watu wa Motoni, humo watadumu.
Mwenyezi Mungu huiondolea baraka riba, na huzibariki sadaka. Na Mwenyezi Mungu hampendi kila mwenye kukanya na afanyae dhambi."yako
Nashukuru sana Kwa quote kutoka katika kitabu Bora zaidi duniani.KABLA YA YOTE UNATAKIWA KUTUBU KWA MUNGU kwasababu ya kujihusisha na KULA RIBA.