Ni kweli kaka Mungu ni mwema nitapata tu sehemu nyingine sahihiAchana na hio biashara ya Mpesa kwanza jaribu biashara zingine.
Ukirudi huko kwenye Mpesa utakutana na Yaleyale. Cycle itakuwa ni Ile Ile
Matatizo Yaleyale,mtu yule yule,
Nipe kazi hiyo mimi niko tabata mkuuAise ungekuwa Dar angalau,hila pole sana
kwahiyo kila mtu humu unadhani kuwa alishikwa mkono?? Wewe kama umedhamiria kupiga mishe fika maeneo hayo watu wa kukushika mkono utakutana nao hapo. Mwanaume unapofika sehemu za utafutaji unachangamka unasalimia uliowakuta unaeleza shida zako na hapo ndio watakupa michongo na wewe utachuja upi unakufaa uanze nao.Si kwamba nabagua KAZI bro, sokoni unaenda una mface nani.? Kama alimaanisha kubeba zile gunia za mahindi begani hizo siwezi mkuu niwe mkweli tu. Ila kama alimaanisha vinginevyo basi anieleze nikifika sokoni nafanyaje fanyaje kupata kazi au biashara.
Habari unafanya hii biashara mkuuJifunze dropshipping inalipa sana