Nimefikia uamuzi wa kuchanachana vyeti vyangu vyote vya Kitaaluma baada ya kuona sifaidiki na elimu niliyosoma

Hata nyinyi mtaomtukana kisandu mnamatatizo ya akili...kisandu ni mgonjwa apewe tiba...cognitive therapy
 
Ila jamaa wewe! Nimecheka reply zako kwenye comments za watu.Unachekacheka tu yan.Ila serikali kiukweli mnaumiza watu aisee
 
Mkuu, kwa hoja kama hizi, mimi kwa upande wangu naona kama vile wodi za Hospitali ya Mirembe zinakuhusu. Si bure ulipata madhara ya kiakili pale ulipokuwa kolokoloni kwa muda wa miaka mitatu.

Hizo stori za kumbukumbu za malinda zinaonyesha kuna tatizo sehemu fulani. Nakushauri nenda kapate tiba za magonjwa ya kiakili kwanza kabla ujafanya jambo lingine baya ambalo linaweza kuangamiza maisha yako.
 
Umepiga Tai shingoni, Earphonez nazo umezingurusha kwa shingo kama unataka kujiua

Enewei isiwe kesi nlichogundua ni kwamba Sio vyeti havijakusaidia ila elimu yako haijakukomboa
 
Duh, yaani wazazi tuna kazi! Wazazi wa hili takataka nao wanajisifu wamezaa? Nawahurumia sana hawa wazee!
 
Go go go go away i don't need you..go go..hili songi nalikubali sana..ujumbe wa leo ungeusindikiza na goma moja matata.

Ila mwanakwetu acha kutukana majeshi au umekumbuka kurudi kitengule.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]Vipi lile pini lake ya "i wandi tu kongratuleti yuuu"...kali sana pia..Don alitulia sana pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Don upo sahihi sana kusema vyeti havina msaada wowote, ila yale maarifa uliyopata kwenye elimu. Kama unamaanisha maarifa uliyopata hayana msaada wowote ni bora ungekata kichwa kuliko kuchoma vyeti. Jambo jingine Don, pamoja na maarifa ya dini uliyopata huko kwenye ukatoliki, ndo umekuja na conclusion mbovu namna hii kumhusu Yesu!? jaribu kutuliza kichwa mkuu....
 
Basi sawa isije ikawa ndo tatizo la Global warming hili
 
Mbona umechukua maamzi magumu sana Don.? Au unachangamsha tu jukwaaa,? Nmejalibu kuwaza uamzi wako bado sijajua kwanini umetumia nguvu kubwa sana kumuua sisimizi.
 
Dhihaka uliyomfanyia Yesu ndio umejifungia baraka zako milele pole.Yesu ni zaidi ya unavyomfahamu usimchukulie poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…